Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

Kwa sasa mafisiemu hayana la kutwaambia, wameshafilisika. Wamefuja madaraka waliyolewa, wameshtuka kuona kumbe watanzania wengi wameelimika hawataki kutapeliwa tena. wanachoweza kufanya ccm kwa sasa ni kufungasha virago tu waanze maisha ambayo hawakuyazoea.
 
CCM wameshikwa pa baya mbona propaganda dhaifu magazeti yenyewe yatakaa poa baada ya 25 watarudia taaluma zao kwa sasa watumikieni mafisadi na majizi uhuru,jamba leo,habari leo habari hiyo hiyo front line
 
Kama kuna sheria imekiukwa kamata Mbowe peleka mahakamani. Propaganda hazijengi nchi!
 
baada ya uchaguzi,mbowe ndo atakua tajiri namba moja tanzania,akifuatiwa na mbatia......

Nikikutaga kule international forum nakuonaga kama zinakutosha, lakini ukija huku onaonekana unamatatizo kidogo.
 
Sasa si muende mahakamani kufungua kesi dhidi ya Mbowe kuwa anafanya miamala kinyume na sheria!! Nchi ya propaganda na walalamikaji.
Wale waliojigawia kupitia singasinga na kuchukua fedha kwa sandarusi kutoka stanbic watakuwa wa ngapi?
 
Ni magazeti gani hayo????
Hata hiyo najichosha bure kuuliza hilo swali maana tayari nilishaamua kura yangu itaenda kwa Lowassa kwa kuichukia kabisa CCM.
 
lowasa chaguo letu mbowe juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Haya sasa wapiga dili wameanza kutupiga hata kabla ya kuifikia nyumba nyeupe, je wakiifikia sijui itakuwaje, wanaweza uza hata nyumba yenyewe au wakaihamishia kilimanjaro

Kwani Kilimanjaro sio tanzania? Au wao hawana haki ndani ya nchi hii?
 
Haya sasa wapiga dili wameanza kutupiga hata kabla ya kuifikia nyumba nyeupe, je wakiifikia sijui itakuwaje, wanaweza uza hata nyumba yenyewe au wakaihamishia kilimanjaro

Mbowe!Mbowe!Mbowe!!Amekula RUZUKU NA MISAADA YOTE YA CHADEMA.Waliokuwa wanaHOJI WOTE KAWATIMUA.AMEBAKIZA KINA "Ndiyo Mzee" !!Hatimaye Mbowe KUTINGA "FORBES" baada ya uchaguzi.Tena na HILO RUZUKU LA BAADA YA UCHAGUZI LITAMKOMA-Maana HAKUNA WA KUMUULIZA ndani ya chama.Mbowe piga pesa!piga pesaaaa!Makamanda msisahau kuchangia fedha chama ndiyo sadaka ya ukombozi.Jenga chama RUZUKU NA MICHANGO HAITOSHI NA USISAHAU KULINDA KURA PIA.
 
mkuu unaniumiza sana maana nakumbuka 2012 nikiwa CHUONI Nilitoa 5000 yangu . kwa mgongo wa ukombozi na imani nilyokuwa nayo CDM kipindi hicho yaani kama umenitonesha kidonda
 
kampeni hizi sio za lelemama,pesa imetumika ki kwelikweli,pia kumbuka chadema inaenda sambamba NA ccm,
Ona ccm walipofikia,his a zote tbl kwisha!sigara kwisha,
Ninaamini baada ya kampeni kuna watu watakuwa MUFILISI!
SIO RAIS ETI KUWEPO KWA MABILIONI YAKUKWAPUA!
N.B
****
TUMIA AKILI!
 
c wamkamate tu kama ni kweli,serikali gani inalalamika badala ya kuchukua hatua
 
mkuu unaniumiza sana maana nakumbuka 2012 nikiwa CHUONI Nilitoa 5000 yangu . kwa mgongo wa ukombozi na imani nilyokuwa nayo CDM kipindi hicho yaani kama umenitonesha kidonda

Kaka Chadema ilikuwa ya kina DK SLAA,CHACHA WANGWE,ZZK,KITILA MKUMBO,SAMSON MWIGAMBA mwaka 2010.Nakumbuka alivyoshindwa uchaguzi SLAA niliumia sana Moyo-Sikulala.Kumbe sikujua Chadema ina "Mwenyewe".Mungu ajua Yote
 
Back
Top Bottom