TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,504
- 28,436
Mwanzisha uzi usikubali kuibiwa kura yako Jpili!
Propaganda Za LUMUMBA KITENGO CHA IT!! Tehe! Tehe! Tehe!! Eti Wamegawana Mabilioni!! Kama Hizo Taarifa Sio Propaganda, Mtoa UZI Na MNAOSAPOT Huo Upuuzi!! Waambieni Hao Wahariri Wa UHURU Na RAIA!! Wataje Hizo Benki Zilizohusika Na Kupitisha Au Kuhifadhi Hayo Mabilioni!!! KAMA KWELI Ni Wanaume Wayataje Ktk. Magazeti Yao, Sio KUPEWA Taarifa Hizo Nusu!!! Mbona Wale WALIOFANYA Miamala Yao Ktk. Benki Yenu Ya Kigeni, IMEGOMA Kutoa Ripot Ya Miamala Ya Wale Waliogawana Mabilioni Ya ESCROW Hadi Leo!! Na NINYI Kama KWELI Wazalendo, Mbona Hamthubutu KUWATAJA HAO Waliogawana, Au KUWAAMBIA Hiyo Benki Itoe Taarifa Zake Za Miamala!!! Wabunge Wa Upinzani Wamedai Mno BUNGENI, Lkn SERIKALI Ya CCM Imekaa Kimyaa!! Hata WAHUSIKA Wa MEREMETA, DEEP GREEN N.k . Semeni Na Hayo Pia!!!
Angalau nikikujibu wewe taarifa zitafika kitengo cha propaganda na mjuwe ndio mzidi kujinyima kura, unajuwa kwa nini?baada ya uchaguzi,mbowe ndo atakua tajiri namba moja tanzania,akifuatiwa na mbatia......
Dah.! Ngoja tudeal na CCM kwanza hiyo tar 25
Magazeti ya leo yameandika jamaa wapiga dili wanafanya miamala ya kufa mtu kupitia hongkong na dubai. Kweli kura ni mali.
Dah.! Ngoja tudeal na CDM kwanza hiyo tar 25. Ushindi kwa Magufuli CCM.
hata awe na miamala ya trilion haisumbui tunataka mabadiliko tu
sitomuamini mbowe tangu nliposikia alipokea bil 10 ili lowassa aingie, walanguzi wakubwa, laana iko juu yao ngoja uchaguzi utakapoisha tutajua ukweli
Mbowe kaisha wauza watanzania kalamba mabilioni anawaambia mkalinde kura wakati mnaumia yeye huyoooo!