Totos Boss
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 5,454
- 1,569
Vipi tena?
Ni faida ya biashara ya didhaa Lo...wa...s
Vipi tena?
sitomuamini mbowe tangu nliposikia alipokea bil 10 ili lowassa aingie, walanguzi wakubwa, laana iko juu yao ngoja uchaguzi utakapoisha tutajua ukweli
Kwa hiyo Chenge, Kikwete na Mkapa hawamo katika hiyo list ya Magufuli?Kma ni kweli, mbowe atakuwa miongoni mwa watu watakao shughulikiwa ndani ya siku 100 za Magufuli akiwa ikulu na vilevile atakuwa victim wa kwanza kwenye ile mahakama ya mafisadi itakayoanzishwa na Magufuli maana yeye ndiye aliyewapotosha vijana kuanza kumshabikia fisadi papa
Magazeti ya leo yameandika jamaa wapiga dili wanafanya miamala ya kufa mtu kupitia hongkong na dubai. Kweli kura ni mali.
View attachment 300421
View attachment 300420
Darasa la ngapi vilesitomuamini mbowe tangu nliposikia alipokea bil 10 ili lowassa aingie, walanguzi wakubwa, laana iko juu yao ngoja uchaguzi utakapoisha tutajua ukweli
Mbowe aje jibu tuhuma hivi kwanini anafanya uharami wa pesaHizi taarifa tumezichoka, wasitutoe kwenye mada ya msingi dakika hizi za mwisho kuelekea kupiga kura, mbinu nyingi zitatumika sasa hivi kuwatoa wapiga kura kwenye mada.
Mkuu sijakuelewa hebu fafanua pia taja gazeti lililoandika.
Sema kweli, wametoa wapi huo utajiri chap chap hivyo? Au ndiyo dil zao zimetick
hata awe na miamala ya trilion haisumbui tunataka mabadiliko tu
sitomuamini mbowe tangu nliposikia alipokea bil 10 ili lowassa aingie, walanguzi wakubwa, laana iko juu yao ngoja uchaguzi utakapoisha tutajua ukweli