Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

Mwalimu Nyerere aliwahi kuzungumzia habari za siasa mufilisi,ndio hizi.
 
Nimeshangaa sana kuona makaburi ya babu zake magufuli yanafanana vile, je huyu kweli ndo atabadlisha mwanza kuwa uswis wakati hata makaburi ya babu zake yamemshinda kutengeza.
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kuzungumzia habari za siasa mufilisi,ndio hizi.

Endeleeni kukataa na mkauzwe mpaka miili sasa na Mbowe. Maana anapowahamasisha kuvunja sheria ye keshahamisha fedha na kimada na familia nje. Mtakapopata ulemavu hatakuwepo. Mbowe ni mfanyabiashara siyo mwanamabdiliko au mwanaharakati!
 
Kama liko wazi wagawane tu hakuna namna, mbona wale wa Magarage Kinondoni huko huko wamegoma kutoka na wamefanikiwa chakuokota siyo cha kuiba. Magufuli atafuta hati zote za magumashi..

Kama Sumaye ana hati ya magumashi elewa kuwa ni CCm na serikali yake ndio waliyoitoa. Na hiyo Wizara iliyotoa hiyo hati ilikuwa inaongozwa na Waziri ambaye hadi sas yupo upande wa CCM, na Rais ambaye hadi sasa yupo CCM.

Hivyo ndio maana hatuitqki serikali ya CCM kwa sababu ya umagumashi na kuturudisha nyuma kihatua kama mlevi.

TAFAKARI CHUKUA HATUA...... CHAGUA MABADILIKO TUONDOE UMAGUMASHI KATIKA UTENDAJI WA SERIKALI.


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
sitomuamini mbowe tangu nliposikia alipokea bil 10 ili lowassa aingie, walanguzi wakubwa, laana iko juu yao ngoja uchaguzi utakapoisha tutajua ukweli

Kumbe umesikia?

Una hakika gani kuwa amepokea?

Ukiambiwa uthibitishe utaweza?
 
Endeleeni kukataa na mkauzwe mpaka miili sasa na Mbowe. Maana anapowahamasisha kuvunja sheria ye keshahamisha fedha na kimada na familia nje. Mtakapopata ulemavu hatakuwepo. Mbowe ni mfanyabiashara siyo mwanamabdiliko au mwanaharakati!


Chenge na Katiba.jpg


Changanya na yangu.jpg

View attachment 300709


View attachment 300708​
 
Dasha usipoteze pumzi bure kumbe uzi wa Mbowe kuhamisha fedha ni tangu 2011!!
Je kipindi hicho Lowasa alikuwa na mpango wa kuhamia CHADEMA???
MaCCM wameshikwa pabaya, hali ni ngumu, maana wanazama!!
 
Last edited by a moderator:
hakuna msafi viongozi wote wapo kwa ajili ya kupiga madeal tuuu, mabadiliko jiletee mwenyewe nyumbani kwako, usimgemee kiongozi yeyote.
 
Ccm ni kawaida yao kuandika uwongo

watu wengine wanachekesha kweli, hilo gazeti linaitwa Raia tanzania na halina uhusiano na ccm ni gazet la jenerali ulimwengu ambae hata ukisoma makala zake nyingi sana hua anamsifia lowasa kimtindo, ila tu la msingi ni kwamba amewapa uhuru waandishi wake. kama huo ushahidi uliowekwa hapo ni wa uwongo, basi chadema na hasa mbowe akanushe, ikumbukwe kwamba hili lilikua gazeti la kwanza kabisa kutoa taarifa kwamba slaa alijivua uanachama wa chadema liliandika mwezi mmoja kabla ya slaa kutangaza rasmi
 
Back
Top Bottom