stephanohonyo
Member
- Jul 29, 2015
- 34
- 21
Hzo chenga tu
Magazeti yameandika tuhuma kuhusu kuhama hama kwa mabilioni ya pesa za hela za kigeni.Vyombo vifuatilie movement ya hizo pesa zisije kuwa ni za kununulia silaha kwa nia mbaya na Tanzania.Vyombo vya ulinzi na usalama vishirikiane na vyombo vingine vya nje kufuatilia akaunti zake zote za ndani na nje zake binafsi ,familia na kampuni zao.
Wakuu nimeambiwa katika Raia Tanzania ya jana kuna mwendelezo wa kesi hii. Naona Mbowe kashikwa pabaya!
Wewe umeshikwa wapi?poleni mlioshikwa ufahamu!
Magazeti yameandika tuhuma kuhusu kuhama hama kwa mabilioni ya pesa za hela za kigeni.Vyombo vifuatilie movement ya hizo pesa zisije kuwa ni za kununulia silaha kwa nia mbaya na Tanzania.Vyombo vya ulinzi na usalama vishirikiane na vyombo vingine vya nje kufuatilia akaunti zake zote za ndani na nje zake binafsi ,familia na kampuni zao.
Hivi Mbowe bado yupo nchini?
Hivi Mbowe bado yupo nchini?
Huyo jamaa amemshauri mamvi vibaya, kampiga mzigo kamuacha jamaa mweupeeee