Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

Mbowe atuhumiwa kuhamisha mabilioni

Magazeti ya leo yameandika jamaa wapiga dili wanafanya miamala ya kufa mtu kupitia hongkong na dubai. Kweli kura ni mali.
View attachment 300421
View attachment 300420

Kweli hizi ni siku za mwisho. Hili ndilo gazeti la mmoja wa waandishi niliokuwa nikiwaheshimu sana nchini, Bw John Bwire? Ni pesa au kusaka vyeo? Nashindwa kuamini. Stori inatungwa Magogoni, kuhaririwa Magogoni na kusambazwa UHURU, Jambo Leo na hata Raia Tanzania. Kila la Kheri katika kazi yako mpya Bwire.
 
Hata kama sio uzushi, unapofanya biashara ni lazima ufanye transfer, na ni lazima uweke request

PUKU ni kampuni ya power banks na ina mtanznia ndani, TanChin pia

as a businessman, the amount he transfer ni kidogo, i think Mbowe should have done bigger business, especially after being in business for over 30 years

ni kweli ila hiyo transfer haina hata siku ambayo ilifanyika nikimaanisha tarehe na saaa?
 
sitomuamini mbowe tangu nliposikia alipokea bil 10 ili lowassa aingie, walanguzi wakubwa, laana iko juu yao ngoja uchaguzi utakapoisha tutajua ukweli
Tangu uliposikia!! Mbona unamwamini Magufuli na umesikia kamnunulia nyumba demu wake isivyo halali?
 
Mtaongea vyote ila hoja inabaki mezani Mbowe kaiuza chama na amekwapua mpaka pesa za wafadhili wenu kanunua nyumba Dubai. Kaeni mnamwabudu!

Zilipohamishwa pesa za ESCROW mbona mliuchuna?na bado sheria mliyoitumia kujilinda ndio hiyo hiyo tutaitumia kujilinda!
 
Zilipohamishwa pesa za ESCROW mbona mliuchuna?na bado sheria mliyoitumia kujilinda ndio hiyo hiyo tutaitumia kujilinda!

Hujui unaongea na nani .. hiyo mliuchuna ni akina nani unaniweka kundi moja nalo? Hebu tumia akili mkuu. Hunijui unaongea based on assumptions. Siko hapa kutetea uchafu wa CCM na Escrow, kwa taarifa yako ni gazeti la Raia Mwema iliyoshiriki kikamilifu kulichapisha habari hii ya Escrow wakati hata Kubenea alikaa kimya. Check your records.
Sasa kama ambavyo wapinga ufisadi hatukuvumilia Tegeta Escrow ndivyo hatutavumilia uchafu wa Mbowe! Sasa rudi ujitafakari na usiingie kichwakichwa kwenye mijadala. Au tafuta mshabiki mandazi wa CCM muendelee na ligi zenu za kipuuzi. Tuachie watu wazima tujadili mambo mazito yanayogusa mustakabali wa Taifa.
 
maccm mnahangaika sana hebu semeni basi na namna magufuli alivyogawa nyumba za serikali kwa ndugu zake ambao walikuwa na ajira za mikataba ya miezi mitatu, mbona hamsemi namna magufuli alivyoingiza hasara serikali ya zaid ya bil. 124 kutokana na kukamata meli ya wachina? mbona hamsemi namna alivyoingiza hasara serikali ya matirion kwa kuchewa kuwalipa wakandarasi kama riba? acheni wataz hatudanganyiki tunataka mabadiliko na baada ya tarehe 25/10/2015 Lowasa RAIS
 
Uzuri mi ni muumini wa Chadema asilia na siwapendi CCM na ninajua ni mafisadi
Tatizo mmehamishia mfumo ndani ya Chadema na kuinajisi. Na sasa mnakosa hoja mnahaha tu. Chenge ni best friend wa Lowassa hivyo hujasema kitu bila kumgusa mgombea wenu kipenzi.
Ukweli mmeishiwa hoja mmeingizwa kichakani na Mbowe mmebaki na wimbo wa mabadiliko feki.

Utaujua ufeki wake soon tulia dawa iingie sawasawa
 
Magazeti ya leo yameandika jamaa wapiga dili wanafanya miamala ya kufa mtu kupitia hongkong na dubai. Kweli kura ni mali.
View attachment 300421
View attachment 300420
AkQfJw4TiX3YbmYHVBzj8xa-mCAbX2i4qdxv3SF8Xf9q.jpg
 
maccm mnahangaika sana hebu semeni basi na namna magufuli alivyogawa nyumba za serikali kwa ndugu zake ambao walikuwa na ajira za mikataba ya miezi mitatu, mbona hamsemi namna magufuli alivyoingiza hasara serikali ya zaid ya bil. 124 kutokana na kukamata meli ya wachina? mbona hamsemi namna alivyoingiza hasara serikali ya matirion kwa kuchewa kuwalipa wakandarasi kama riba? acheni wataz hatudanganyiki tunataka mabadiliko na baada ya tarehe 25/10/2015 Lowasa RAIS
AkQfJw4TiX3YbmYHVBzj8xa-mCAbX2i4qdxv3SF8Xf9q.jpg
 
Hujui unaongea na nani .. hiyo mliuchuna ni akina nani unaniweka kundi moja nalo? Hebu tumia akili mkuu. Hunijui unaongea based on assumptions. Siko hapa kutetea uchafu wa CCM na Escrow, kwa taarifa yako ni gazeti la Raia Mwema iliyoshiriki kikamilifu kulichapisha habari hii ya Escrow wakati hata Kubenea alikaa kimya. Check your records.
Sasa kama ambavyo wapinga ufisadi hatukuvumilia Tegeta Escrow ndivyo hatutavumilia uchafu wa Mbowe! Sasa rudi ujitafakari na usiingie kichwakichwa kwenye mijadala. Au tafuta mshabiki mandazi wa CCM muendelee na ligi zenu za kipuuzi. Tuachie watu wazima tujadili mambo mazito yanayogusa mustakabali wa Taifa.
AkQfJw4TiX3YbmYHVBzj8xa-mCAbX2i4qdxv3SF8Xf9q.jpg
 
Amehamisha za nani? Kama amehamisha zake, shida in gan!

Mzalendo hawezi hamisha pesa nje ya nchi,kuhamisha pesa nje ni kudhoofisha uchumi wa nchi yako na kuneemesha kule unapoipeleka,
halafu anahofia nini asiziache nchini kwani hapa ma bank hakuna?
kwa vyovyote hizi pesa zinauchafu na ndio maana zinapelekwa mafichoni.
 
Hapo kuna shida,jumla ya hiyo pesa ni ndogo mara 300 ya ile ya Mboga ya Mama NSHOMILE
 
Back
Top Bottom