Humjui Ritz, vizuri endelea kumsoma.Ni wewe kweli Ritz!
Utakuwa umepona na kweli Mungu hawezi mtupa .......... wake!
lakini hawa wakuu wawili bhana, mkuundu-gai na mkuuma-kinda wana mambo kwelikweli!
huyo nafikiri atakuwa nkamia -- mchumia tumbo ha ha haAskari kama mmeshindwa kumtoa nje,mtu achie wenyewe(wabunge ccm).Nimeipenda hio kauli ya moja ya wabunge waliowasha maiki na kusema hayo.Naona hii itakuwa mfano na fundisho kwa wabunge woote wasio na adabu.
]Mbowe anastahili kuchukuliwa hatua za nidhamu kwa utovu wa nidhamu aliouonesha
Na wewe unatakiwa kupuuzwa kutokana na upuuzi unaoujaza hapa!!hivi jf haina utaratibu wa probation period kwa member wapya?ingepunguza utitiri wa wajinga wanaojazana humu kila kukicha.
Ni utovu upi aliouonyesha Mbowe?au kudai haki yake ya kusikilizwa ndiyo utovu?uko darasa la ngapi?
fadhila za kutibiwa india hizo...Iwonder huyu mrema anaongea nini..kapiga kula ya sio mswada usitolewe bungeni sa hvi anasema tulekebishe katiba ya zamani ituvushe kwenye uchaguzi 2013..hawa viongozi vipi?