Mbowe atolewa nje ya bunge

Mbowe atolewa nje ya bunge

Naamini Mh Moses machali anavyomtetea Mh. Mbowe,hongera sana Machali naamini anapenda kuongozwa na Mh Mbowe.
 
Bora mtutoe wote bungeni kuliko kumtoa nje kiongozi wetu na kumdhalilisha.. This is the real definition of loyalty. Big up sana wabunge wa CHADEMA
 
Bunge likiongozwa na ndugai lazima fujo zitokee,ndugai hafai nawasitikia wana kongwa wamelamba galasa.
 
Naangalia bunge huku ni vita kati ya masajenti wa bunge na wabunge. Hii ni hatari sana.
 
mbowe na baadhi ya wabunge weshatoka nje tiyari
 
...wamefanikiwa kuzuia mbowe kutoka...?
 
J. Ngugai atoa amri Mbowe atolewe nje baada ya Mbowe kuomba muongozo ila J Ndugai akamuamuru akae chini na asiongee chochote ndipo Mbowe akakataa kukaa mpaka asikilizwe anachotaka kusema ila wabunge wa upinzani wamegoma Mbowe kutolewa nje na kinachoendelea ni kupigana kati ya askari na wabunge wa chadema
je kweli wamepigana?
 
maccm yote majanga,yanajiaibisha sana hapo mjengoni kwa maamuzi ya kipuuzi,watz tunaona,tunafuatilia na tutachukua hatua kali 2015.acha watumie wingi wao kunajisi demokrasia,lakn kifo chao chaja.CDM SONGENI MBELE WATZ TUPO NYUMA YENU
 
Iwonder huyu mrema anaongea nini..kapiga kula ya sio mswada usitolewe bungeni sa hvi anasema tulekebishe katiba ya zamani ituvushe kwenye uchaguzi 2013..hawa viongozi vipi?
 
Jamani?????Lema leo daah hakuwepo....!!!
Nilitaka zipigwe na nahis zilipigwa hao Ma ccm hawajielewi tu?
 
Me sio mtu wa siasa sana nimeangalia bunge ila sijapenda kilichotokea ni udhalilishaji huu,
 
Mrema anatema pumba sasa hivi...eti yeye sio kibaraka wa CCM na pumba nyiiiingi....Magamba wanachekelea kweli utadhani wako kwenye comedy!
 
ndugai ni K kabisa nimetaman nishut hii tv yaan nimekwazika vbya mno na huyu ndugai maamuz kama sura yake
 
Kwa hali hii haya mambo tulikuwaunatakiwa tuyaone kwenye nchi za wenzetu wasio na amani ila Mh ndugai ameonyesha udhaifu mkubwa ameshindwa kusoma kanuni na sheria za bunge anachojua ni kutumia nguvu.shame on JOB NDUGAI.:disapointed:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom