Kipokola
Senior Member
- Apr 16, 2013
- 175
- 93
Nadhani ni ishara ya wazi ya tatizo la uongozi wa Naibu Spika Huyo kwa kushindwa kusimamia na kujibu hoja chokochoko za Upinzani ambazo zipo katika mabunge yote Duniani yenye vyama vingi!
Sidhani kama Mh huyu anajua kuwa ni kipimo kibaya kinachomshusha hadhi yake?
Mkuu Profesa, wakat mwingine huwa inanichanganya mtu wa namna kuwa naibu spika ni aibu yaani hata busara hana.. muda uliotumika kwa fujo hivi huku yeye mimeno kaitoa kufurahi order yake ikitekelezwa ilitosha kabsa kwa mh.Mbowe kutoa hoja yake na bunge kujua alichotaka kusema hasa nin..
Mim naona Makinda ni bora na huwa anafanya kazi vizuri sana na upinzani kulinganisha na viongozi wengine wa bunge hasa naibu spika na wale wenyeviti wawili ukimwacha Zungu.. Bila shaka ni aibu kwa Ndugai na kwa Bunge kuwa na kiongozi mjinga kama Ndugai.