Ndugai hovyo sana,kwa nini asimsikilize anataka kusema nini Mbowe?
ili kuepukana na fedhea kama hizi si vibaya jokery mbowe akajiendeleza hata kwa elimu kwa njia posta itamfungua kiakili na upeo
duh!kwakweli inasikitisha sana!
Elimu tunayozungumzia si ya uDJ kwenye uDJ amefuzu mpk ngazi ya taifa kwengine ni mzungu wa relialiyekuambia mbowe hajasoma ni nani.mpeleke shule,vinginevyo una pepo la wivu na utumwa...!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkuu hata mimi nilikuwa nafikilia hivyo hivyo, ni aibu tupu - nilishapendekeza kwamba kama Taifa letu linaona tuendelee na chama kimoja basi watangazie dunia hivyo. Haya mambo ya kudhani vyama vya upinzani ni maadui, wakosa uzalendo na mambo mengine chungu mzima ya kutunga tu! Watu wazima wana-behave kama watoto wa shule, zomea zomea ovyo, maneno ya kashfa, kupiga makofi ambako hakuitajiki - yaani mtu unaona wazi wazi kwamba sio kujali sana chama tawala bali ni watu kutaka kujipendekeza tu, wengi wao hawana moyo wa dhati wa kujali maslahi ya taifa letu; kama wangekuwa wazalendo kweli mbona hawakomalii biashara ya madawa ya kulevya ambayo yanalitia aibu kubwa Taifa letu, yaani mtu ukiwa na passport ya Tanzania una angaliwa mara mbili mbili unapokuwa kwenye viwanja vya Ulaya na Merikani, cha ajabu Taifa letu alifanyi effort zozote ya kukamata Kingpins wa upuuzi huu, wana wahacha wa roam streets scotch free au kutoa visingizio mbali mbali ili wasifikishwe mbele ya PILATO!! Jana kwa mfano niliangalia kwenye playback mtandaoni wabunge wa upinzani wakiondoka Bungeni wakipinga masuala fulani, ili ni jambo la kawaida kwa nchi zinazo jali demokrasia - ajabu wabunge wa chama tawala wanaona huo ni uhasi au sijui kukosa shukrani! Wanafika hatua ya kuwasimanga eti walikaribishwa chai na JK Ikulu sasa kwa nini wanapinga sijui mapendekezo gani? Mambo ya ajabu kweli kweli!! Kwani leo naibu wa Spika angemuhacha Mh.Mbowe akasema alichotaka kusema alafu akapewa onyo baadae baada ya kugundulika kwamba Mh.Mbowe hakuwa na hoja ya maana - kwa nini Kiongozi wa Upinzani Bungeni hachukuliwe lightly?? Hivi Bunge au naibu Spika wangemsikiliza mbowe wangepoteza nini? Ni vizuri tuwe wastaarabu kidogo, hakuna sababu za kuvurumisha Viongozi wa vyama vya upinzani na kuwadhalilisha nao they deserve heshima, hata kama hawapo madarakani - wote ni Watanzania, tofauti za itikadi za vyama zisitufanye kutoana macho na masikio. Hivi wabunge wetu na maspika wanapokwenda kuangalia Bunge za wenzetu Ulaya na kuketi kwenye mabunge ya wenzetu wanajifunza nini. Narudia kusema Bunge jana jioni linapoteza muda mwingi wakitoa hotuba za kulaani kitendo cha wabunge wa upinzani kususia kikao, hata wabunge ambao waliwahi kupata bahati ya kutembelea mabunge ya Ulaya na Merikani na kuona nini maana ya Demokrasia Bungeni nao wakaingia mkumbo huo huo wa kulaani wapinzani - tubadilike jamani, upinzani si uhaini!!Duh kumbe Vita inaanzia humu humu ndani afu mnasingizia Rwanda ona Bunge lenu Full aibu
kwann atolewe nje? mwachen aseme anachotaka nyie vp hatok mtu hapa
wewe ni mburula tuu hujui unakokwenda mam........kooo
Haujielewi kabisaaaaaa
Bunge la Tanzania limegeuka Kichen Party.
😛eace:
Maccm yatakoma mwaka huu