Mbowe atolewa nje ya bunge

hayo matatizo ya ukosefu wa maji, ajira na matatizo mengine unayoyasema ni common ktk majimbo yote ya uchaguzi Tz، siyo hai tu, kama ungekuwa na kumbukumbu hata kidogo (kitu ambacho hauna) maana umeanza kujistukia kuwa utatukanwa kwakujua kuwa uko less imformed kwenye matatizo yanayoikabili nchi hii, utatuzi wa matitizo ya nchi hii hayawezi kutatuliwa na mbunge, na ukumbuke 2005-2010 Mbowe hakuwa mbunge wa hai je huyo aliyekwepo kwann hakutatua hayo matatizo ya maji na ajira?
Tukiacha ushabiki nchi hii inarudishwa nyuma na watendaji wa serikali kuanzia taifa mpaka halmashauri.
 
cjui unaongelea wilaya ipi hai kuna kila kitu maji shule zahanati mbunge wetu aligawa komputa kila shule ya sekondari bado tunamwamini sana mbunge wetu tunamwini sana tunamwombea aendelee na harakati za kuikomboa tz sisi wa hai tushakombolwe
 
gamba wewe huna tofauti na zero
 


Sasa nini ,maana ya kuchagua upinzani kwa mtu ambaye tuliona hafai?
 
Wabunge wa machadema wanataka kuchezea kodi za wananchi kwa kuyumbisha akili za watu, wanadhani kila mtu ni mhuni kama wao
 

ebu pata picha apo wameanza na sala kila wanapoingia bungeni je kisingekuwepo kipengele cha dua kwa taifa ingekuaje?
 
mbona sasa wanajadali chade
ma na cuf wameacha mjadala,yaani ni tundu lisu tu.
jama kumbe hii ccm hata ikibaki peke yake bungeni hawawezi kujadili kitu cha maana???
 
Wabunge wa machadema wanataka kuchezea kodi za wananchi kwa kuyumbisha akili za watu, wanadhani kila mtu ni mhuni kama wao

One man Army, unaonekana uko peke yako leo
 
sasa hu upuuzi gani umeweka hapa Hai unaijua vizuri unaweza kuilinganisha na Iramba kimaendeleo,kondoa au isimani? Toa upimbi wako humu jinglish.
 
Chademanni chama chankuwahadaa wanachi siyo kuwaletea maendeleo watu wao.
 
Hapa naongelea issues usiniletee habari zenu mnazotudanganya nazo kwenye fuso...

we unastruggle for the existence sisi tunastruggle for majority rights.
 
sasa hu upuuzi gani umeweka hapa Hai unaijua vizuri unaweza kuilinganisha na Iramba kimaendeleo,kondoa au isimani? Toa upimbi wako humu jinglish.
Kutukana wala hakuna msaada mwenzako katoa data wewe umekuja kutukana ungetoa data za iramba kama mwenzako alivyotoa mapungufu ya hai kwa data.
 
Dah siasa ni mchezo wa kuigia wa ajabu! Kinachoendelea jioni hii yooote ni kumfariji na kumtakasa Mh Ndugai! Siwaelewi hata wengine naona muda unatumika vibaya. Inasikitisha, anyway labda ndio mchezo wenyewe.

Pamoja na hayo nimefurahishwa na jambo moja, Mh Ndugai amejua alipotetereka na anaonekana kujirekebisha kwa uakini kila anapopata nafasi ya kuongea! Kilichopo sasa ni kitetea hatua zilizochukuliwa asubuhi kwa KUB!
 
Kutukana wala hakuna msaada mwenzako katoa data wewe umekuja kutukana ungetoa data za iramba kama mwenzako alivyotoa mapungufu ya hai kwa data.

wote wale wale mliokunywa uji wa pinda mgonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…