Mbowe atangaza operesheni ''Kata Funua''

Ahaaaaa! Wanachekesha kweli maana hawana nia ya kushika dola!!
haaahaaaaa ccm bana napendaga mnavyojitia moyo kuassume kila kitu kipo sawa on ur side.... sasa kama hawana nia ya kushika dola si mruhusu mikutano ya kisiasa maana wapinzania hawana nia ya kushika dola hivyo sio tishio kwa chama tawala..... haaahaaaaa so pathetic
 
Mfa maji haachi kutapatapa. Labda utukumbushe hiyo operation ni ya ngapi tangu tumezisikia operation za chadema? Kinachobadilika ni majina tu ila mambo ni yale yale tu ya kudanganya wananchi. Ngoja tuone kama hawajachangishwa tena kama ile M4C maana KUB ana hali mbaya kiuchumi anatafuta pesa ya kufufua Bilcanas.

Ni kwa operesheni hizi ndiyo maana CHADEMA ipo na ikiwa na nguvu na uwezo zaidi kuliko ile 1995, kuliko ile 2000, kuliko ile 2005, kuliko ile ya 2010 na itakuwa moto wa kuotea mbali ifikapo 2020!!

Kama hulioni hili, basi wewe utakuwa miongoni mwa watoto wale kutoka mtaa wa pili ambao wasingependa kuiona CHADEMA ikiendelea kukua!!

Hilo la sijui Mbowe na Billicana yake, ni kuonesha tu ulivyo so desperate wewe na wenzako huko mtaani kwetu. Ni vyema, ukawaambia CCM watoke nao kuimarisha uhai wa chama chao badala kutegemea polisi na mahakama kufanya siasa.

Yawezekana hujui kuwa hata Magufuli ni zao la operesheni hizi hata kujikuta anaokota embe dodo chini ya msonabali na kuukwaa Urais kupitia chama chakavu.

Yawezekana hata hujui kuwa isingekuwa hizi operesheni za CHADEMA, watanzania wengi wa mijini na vijijini wangekuwa bado wako kwenye tope la usingizi wa ujinga na woga wa kushindwa kuhoji na kudai haki zao kwa sbb ndilo hasa lengo la CCM!!

Inawezekana hata hutambui kuwa mtifuano na mparanganyiko ulioko serikalini sasa, yote ni kwa sbb ya kujaribu kuzuia nguvu na harakati za upinzani ukiongozwa na CHADEMA.

Rejea kusudio la kuanza kwa maandamano ya UKUTA jinsi viongozi wa serikali chini ya CCM walivyoamua kutoka ktk mstari na kuziacha ofisi zao kwenda eti kuzuia ukuta na kujikuta kama wamekuwa wehu hivi!!

Naunga mkono operesheni kata funua....waende vijijini wachimbue na kufunua kila kitu na kuweka wazi. Wawaelimishe watu juu ya wajibu na haki zao za kiuchumi, kijamii na kisiasa

Hii ndiyo kazi ya chama cha siasa chochote.

Waende vijijini na mijini kuimarisha chama chao na kutafuta wanachama wapya kwa mtindo wa "Kata - Funua"

Huku Shinyanga, tunasubiri mwongozo tu, tuko tayari kuieneza operesheni hii kuwafikia watu wengi!!
 
images-7.jpeg
images-6.jpeg

images-4.jpeg
images-2.jpeg

B0187RM1WHBL00026381818181907BLWHREAFA,love-kata.jpg
images-3.jpeg

swissme
 
Mfa maji haachi kutapatapa. Labda utukumbushe hiyo operation ni ya ngapi tangu tumezisikia operation za chadema? Kinachobadilika ni majina tu ila mambo ni yale yale tu ya kudanganya wananchi. Ngoja tuone kama hawajachangishwa tena kama ile M4C maana KUB ana hali mbaya kiuchumi anatafuta pesa ya kufufua Bilcanas.
Kwani bilicanas mnayoitaman mmeweza iua?Kwanini pesa siku hizi zinarudisha uhai? Sasa naona mmezunguka wewe mwisho mmeona mfanye shamba la sumayi mmelitamani sana. CCM ni laana.
 
Buckle up dude and get ready for the ride of a misfiring lifetime!
Hahaa hapa umenifurahisha.. lakini mdharau mwiba.....watu wa vyama jipangeni hasa CCM. Sisi neutrals tunasubiri nani atafanya nini tutoe hukumu. Kama tulivyokataa kuchagua watuhumiwa wa ufisadi 2015.
 
Ni kwa operesheni hizi ndiyo maana CHADEMA ipo na ikiwa na nguvu na uwezo zaidi kuliko ile 1995, kuliko ile 2000, kuliko ile 2005, kuliko ile ya 2010 na itakuwa moto wa kuotea mbali ifikapo 2020!!

Kama hulioni hili, basi wewe utakuwa miongoni mwa watoto wale kutoka mtaa wa pili ambao wasingependa kuiona CHADEMA ikiendelea kukua!!

Hilo la sijui Mbowe na Billicana yake, ni kuonesha tu ulivyo so desperate wewe na wenzako huko mtaani kwetu. Ni vyema, ukawaambia CCM watoke nao kuimarisha uhai wa chama chao badala kutegemea polisi na mahakama kufanya siasa.

Yawezekana hujui kuwa hata Magufuli ni zao la operesheni hizi hata kujikuta anaokota embe dodo chini ya msonabali na kuukwaa Urais kupitia chama chakavu.

Yawezekana hata hujui kuwa isingekuwa hizi operesheni za CHADEMA, watanzania wengi wa mijini na vijijini wangekuwa bado wako kwenye tope la usingizi wa ujinga na woga wa kushindwa kuhoji na kudai haki zao kwa sbb ndilo hasa lengo la CCM!!

Inawezekana hata hutambui kuwa mtifuano na mparanganyiko ulioko serikalini sasa, yote ni kwa sbb ya kujaribu kuzuia nguvu na harakati za upinzani ukiongozwa na CHADEMA.

Rejea kusudio la kuanza kwa maandamano ya UKUTA jinsi viongozi wa serikali chini ya CCM walivyoamua kutoka ktk mstari na kuziacha ofisi zao kwenda eti kuzuia ukuta na kujikuta kama wamekuwa wehu hivi!!

Naunga mkono operesheni kata funua....waende vijijini wachimbue na kufunua kila kitu na kuweka wazi. Wawaelimishe watu juu ya wajibu na haki zao za kiuchumi, kijamii na kisiasa

Hii ndiyo kazi ya chama cha siasa chochote.

Waende vijijini na mijini kuimarisha chama chao na kutafuta wanachama wapya kwa mtindo wa "Kata - Funua"

Huku Shinyanga, tunasubiri mwongozo tu, tuko tayari kuieneza operesheni hii kuwafikia watu wengi!!
umetililika vyema!hongera mkuu!
 
Safi naona juhudi za kuendelea kukijenga chama zinaendelea
 
1. Operation Sangara
2.Operation M4C tukachanga na pesa zetu chalii
3.Operation vua gamba vaa gwanda chalii
4.Operation washa taa mchana chalii
5.Operation UKUTA 01/09 chalii
6.Operartion UKUTA 1/10 chalii
7.Operation BAVICHA kuwazuia CCM wasifanya mkutano wao Dodoma Chalii
8.Operation kata funua huu ulaji mwingne
Nadhani zitakuja nyingine nyingi tu na zitakua na impact kwa namna moja au nyingine
 
Ni kwa operesheni hizi ndiyo maana CHADEMA ipo na ikiwa na nguvu na uwezo zaidi kuliko ile 1995, kuliko ile 2000, kuliko ile 2005, kuliko ile ya 2010 na itakuwa moto wa kuotea mbali ifikapo 2020!!

Kama hulioni hili, basi wewe utakuwa miongoni mwa watoto wale kutoka mtaa wa pili ambao wasingependa kuiona CHADEMA ikiendelea kukua!!

Hilo la sijui Mbowe na Billicana yake, ni kuonesha tu ulivyo so desperate wewe na wenzako huko mtaani kwetu. Ni vyema, ukawaambia CCM watoke nao kuimarisha uhai wa chama chao badala kutegemea polisi na mahakama kufanya siasa.

Yawezekana hujui kuwa hata Magufuli ni zao la operesheni hizi hata kujikuta anaokota embe dodo chini ya msonabali na kuukwaa Urais kupitia chama chakavu.

Yawezekana hata hujui kuwa isingekuwa hizi operesheni za CHADEMA, watanzania wengi wa mijini na vijijini wangekuwa bado wako kwenye tope la usingizi wa ujinga na woga wa kushindwa kuhoji na kudai haki zao kwa sbb ndilo hasa lengo la CCM!!

Inawezekana hata hutambui kuwa mtifuano na mparanganyiko ulioko serikalini sasa, yote ni kwa sbb ya kujaribu kuzuia nguvu na harakati za upinzani ukiongozwa na CHADEMA.

Rejea kusudio la kuanza kwa maandamano ya UKUTA jinsi viongozi wa serikali chini ya CCM walivyoamua kutoka ktk mstari na kuziacha ofisi zao kwenda eti kuzuia ukuta na kujikuta kama wamekuwa wehu hivi!!

Naunga mkono operesheni kata funua....waende vijijini wachimbue na kufunua kila kitu na kuweka wazi. Wawaelimishe watu juu ya wajibu na haki zao za kiuchumi, kijamii na kisiasa

Hii ndiyo kazi ya chama cha siasa chochote.

Waende vijijini na mijini kuimarisha chama chao na kutafuta wanachama wapya kwa mtindo wa "Kata - Funua"

Huku Shinyanga, tunasubiri mwongozo tu, tuko tayari kuieneza operesheni hii kuwafikia watu wengi!!
Chadema ya Dr Slaa haitrudi kamwe, hii ya makapi ya ccm mwenye utimamu hawezi kuangaika nayo
 
Kwahio Chama Kimekaa kikaamua kuita operesheni ya whatever it is KATA FUNUA?!!! Wamekosa jina lolote lenye hata hekima kidogo. Mimi najua kata funua ni kitu cha vurugu,kwenye michezo au mitaani, yaani ubabe ubabe! Anyway wasija WAKAKATWA NA KUFUNULIWA WAO tu!
 
Back
Top Bottom