Mbowe atangaza operesheni ''Kata Funua''

Hizo kura gawana kwa vyama vinne vilivyounda UKAWA,utajua chadema walipata kura ngapi
Hayo majimbo 100 mnayojivunia siyo nguvu ya chadema, ni baada ya kuachiana katika UKAWA
Chadema ilijengwa kabla ya ujio wa fisadi lenu,kwa mbinu za Dr Slaa, rejea matokeo ya serikali za mitaa yaliyopita, upinzani ulifanya vizuri kabla ya ujio wa fisadi lenu
Chadema ina mafanikio ya ruzuku kwa marengo ya muda mfupi
Kama chama, marengo ya muda mrefu kimefeli, subiri uchaguzi wa serikali za mitaa ujao, na uchaguzi mkuu ndo utajua umuhimu wa Dr Slaa, na ndo hapo utajua tamaa ya Mbowe ilivyoua CHAMA

Tunaongelea CHADEMA hapa, na kura hizo ni za CHADEMA mkubwa. Ugawanye kura umpe na nani mwingine na ni utaratibu wa wapi huo?

Hizo nyimbo za subiri sijui lini na lini ni ngonjera za kisiasa tu na hata wao CHADEMA I hope wanajua kuuimba huo wimbo mpaka mgonjwa anakufa!!

Kama wewe ni mbishi, muulize Mwigulu Nchemba na Marehemu Steven Wassira aliyekwisha kufa kisiasa tayari.

Ni kwa sababu waliimba wimbo huu huu tangu mwaka 2010 wa CHADEMA itakufa - itakufa, subirini mwaka 2015, subirini mwaka 2015 .......mwisho wa siku wamekufa wao......CHADEMA yaendelea kutesa na kuwa stronger and stronger than ever!!

Sasa na wewe naona unaibua wimbo wa zilipendwa badala ya kuiambia CCM ianze kujenga viwanda ili ifikapo mwaka 2019 watuoneshe!!

Na ole wenu mje mtuoneshe viwanda vya kufyatua tofali na watoto......ndipo mtakapokufa kifo cha mende wenyewe bila kutumia nguvu yoyote!!
 
operation kata funua haitaponya njaa zetu...kwann wasije na operation wezesha wananchi angalau watupunguzie machungu ya kisoma namba!,watu tukakufa tukisoma namba yy anazid kuleta siasa badala ya msaada!
Hahahahaa word of the day
 
1. Operation Sangara
2.Operation M4C tukachanga na pesa zetu chalii
3.Operation vua gamba vaa gwanda chalii
4.Operation washa taa mchana chalii
5.Operation UKUTA 01/09 chalii
6.Operartion UKUTA 1/10 chalii
7.Operation BAVICHA kuwazuia CCM wasifanya mkutano wao Dodoma Chalii
8.Operation kata funua huu ulaji mwingne
Yarabbi...
 
mbona ssa haya majina ya operation yanakuwa kama majina ya singeli ? au ndio msaga sumu anawapa idea?
 
We have been here before!

Are we still heading where Albert Einstein once said, insanity is doing the same thing over and over again, but expecting different results.

Mwaka 2008 CHADEMA iliibuka na operesheni samaki mkubwa (maarufu kama Oparesheni Sangara).

Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, kuliibuka matembezi ya maandamano.

Mwaka 2012 ikaanzishwa operation ya mabadiliko yaani Movement for Change (M4C).

Mwaka 2016, wameibuka na operesheni Ukuta (Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania) ambao wengine waliita Ukuta wa mabua na kabla ya jua kuzama, tunaambiwa kuna operesheni Kata Funua.

Halafu maneno Kata Funua ni kama ya kihuni huni au ubabe ubabe wakati siasa ni mazungumzo. Au anataka kupambana na vyombo vya dola?

Haya ndio moja ya mapendekezo ya kikao cha Kamati Kuu kilichokaa juzi! Serious?

Buckle up dude and get ready for the ride of a misfiring lifetime!
Kata funua ndani ya chama hatutaki viongozi viraza
 
Ccm nao wanataka wacopy yao ya chadema ni kata funua,wao wanacopy eti,KATA KIUNO!...ha ha haa,kama walivotaka kukopi ile ya UKUTA
 
We have been here before!

Are we still heading where Albert Einstein once said, insanity is doing the same thing over and over again, but expecting different results.

Mwaka 2008 CHADEMA iliibuka na operesheni samaki mkubwa (maarufu kama Oparesheni Sangara).

Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, kuliibuka matembezi ya maandamano.

Mwaka 2012 ikaanzishwa operation ya mabadiliko yaani Movement for Change (M4C).

Mwaka 2016, wameibuka na operesheni Ukuta (Umoja wa Kupinga Udikteta Tanzania) ambao wengine waliita Ukuta wa mabua na kabla ya jua kuzama, tunaambiwa kuna operesheni Kata Funua.

Halafu maneno Kata Funua ni kama ya kihuni huni au ubabe ubabe wakati siasa ni mazungumzo. Au anataka kupambana na vyombo vya dola?

Haya ndio moja ya mapendekezo ya kikao cha Kamati Kuu kilichokaa juzi! Serious?

Buckle up dude and get ready for the ride of a misfiring lifetime!

Umesahau tu kusema kwamba mwaka 2015 Chadema ilipata asilimia 40 ya kura zote za urais.... so your points are moot
 
Back
Top Bottom