DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,652
- 2,642
Weka picha,Wassira kuna picha,Komba kuna picha.
Mimi ni mwanachama mtiifu wa CHAUSTA na ninakipenda sana. Nccr ndio nini hebu wewe kijana wa chadema unikome kama.......
Aisee we jamaa unayejiita kigoma mjini wewe si mwana NCCR mageuzi, sasa mbona unaleta udaku kwa kiongozi wako wa UKAWA? hakya mungu huu UKAWA ni ukahawia kweli yani wanachama sijui hamuutaki?
kwani ukisema wewe ni ombaomba nani atakujua humu jamvini?nina familia nzuri sana, nyumba 6 gari 4 na maisha yanaenda. misitegemei vya kupewa kama wewe
unadhani kamanda kama mbowe anaweza fanya mambo ya ccm kazi umalaya tu,mbowe kazi tu na anajua anaumia kwa mstakabali wa inchi,kaeni na ujinga wenu.na malaya dodoma jamaa hoi
mjuni achana na mashoga ya ccm,uwezo wao ndo umefikia hapo,mbowe ni kamanda hafananishwi na gamba yoyote.Tumsikilize mwanaume wa shoka sugu anaunguluma mjengoni. Anawachana mbaya maccm.
dogo karibu UD uje tukufundishe siasa, tatizo lako unayemfikiria siyeyeye.
Mbona wewe ni mchokozi sana ......kwi kwii kwiiiii....
Mwambie na huyu!Weka picha acha longolongo.........
Waziri Mkuu Pinda Mwenyekiti wa caucus ya CCM Bungeni na mwenyekiti wa Tanzania kwanza (Wasaka Tonge ) kwa mujibi wa Seif Khatibu leo asubuhi ameonekana kwenye runinga akisinzia, tabia hii ni hatari kuwa na wabunge wakusinzia bungeni. Amka mwenyekiti.
Kama huna picha tunaomba uufyateMwenyekiti wa chama cha CHADEMA na KUB na mwenyekiti wa UKAWA leo asubuhi ameonekana kwenye runinga akisinzia, tabia hii ni hatari kuwa na wabunge wakusinzia bungeni. Amka mwenyekiti.
Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA na KUB na mwenyekiti wa UKAWA leo asubuhi ameonekana kwenye runinga akisinzia, tabnia hii ni hatari kuwa na wabunge wakusinzia bungeni. Amka mwenyekiti.
Mama maria anamshangaa mkuluMbona wewe ni mchokozi sana ......kwi kwii kwiiiii....
Huna simu yenye kamera.halafu TV ilivyovuta mpaka .....