Mbowe asinzia bungeni asubuhi hii

Mbowe asinzia bungeni asubuhi hii

Yupo ACT kifikra mkuu.Juzi nimemuona kwenye mtandao akimkasirikia Mbatia.Alihama CHADEMA kwa matusi mengi sana lakini viongozi wake wakaja kuungana na CHADEMA .Sasa sijui anajiskiaje. Vijana wajifunze siasa waachane na mihemko.Niliwashauri hivyo

Ben Tuliwashauri wajikite kwenye itkadi bdala yakuamini katika siasa za ufuasi wa watu matokeo yake ndio haya.
 
Last edited by a moderator:
Yupo ACT kifikra mkuu.Juzi nimemuona kwenye mtandao akimkasirikia Mbatia.Alihama CHADEMA kwa matusi mengi sana lakini viongozi wake wakaja kuungana na CHADEMA .Sasa sijui anajiskiaje. Vijana wajifunze siasa waachane na mihemko.Niliwashauri hivyo

weee ----- mbona unanifananisha na mtu nisiyejua. jibu hoja bosi wako anasinzia
 
"kwa mjibi wa nape leo asubihi"

Ama kweli hii ndiyo JF siku hizi!!!
 
Sioni sababu ya mada hii kuletwa hapa. Alafu eti kwa mujibu wa nape. Hii ni kutaka kumchafua nape tu. Tuache siasa uchwara humu jamani. Mbowe ni binadamu pia, bora anasinzia akiwa ndani kuliko kuingia kusaini kisha kukimbia ili tu upate posho. Mods please sometimes hizi porojo msizikubalie kuingia humu
 
wewe umeona leo eti kasinzia!!!! mbona vifududu wenu akina komba , wanasinzia kila siku hausemi????? mnafiki acha siasa kama huwezi
 
993493_797993500215700_2113873542_n.jpg
 
Sioni sababu ya mada hii kuletwa hapa. Alafu eti kwa mujibu wa nape. Hii ni kutaka kumchafua nape tu. Tuache siasa uchwara humu jamani. Mbowe ni binadamu pia, bora anasinzia akiwa ndani kuliko kuingia kusaini kisha kukimbia ili tu upate posho. Mods please sometimes hizi porojo msizikubalie kuingia humu

ukweli unauma sana.
 
Back
Top Bottom