Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,268
wewe umeona leo eti kasinzia!!!! Mbona vifududu wenu akina komba , wanasinzia kila siku hausemi????? Mnafiki acha siasa kama huwezi
hii ni habari ya mbwa kula mtu ndio maana
wewe umeona leo eti kasinzia!!!! Mbona vifududu wenu akina komba , wanasinzia kila siku hausemi????? Mnafiki acha siasa kama huwezi
Si ndio huyu anayesoma Digrii ya kwanza pale UDSM ya International Marketing? Yule sisimizi?Yupo ACT kifikra mkuu.Juzi nimemuona kwenye mtandao akimkasirikia Mbatia.Alihama CHADEMA kwa matusi mengi sana lakini viongozi wake wakaja kuungana na CHADEMA .Sasa sijui anajiskiaje. Vijana wajifunze siasa waachane na mihemko.Niliwashauri hivyo
Una nyumba Sita zko mkoa gani?nina familia nzuri sana, nyumba 6 gari 4 na maisha yanaenda. misitegemei vya kupewa kama wewe
Ha ha ha Kasoma Lushoto,Si ndio huyu anayesoma Digrii ya kwanza pale UDSM ya International Marketing? Yule sisimizi?
Kwa hiyo mbowe = komba
Yupo ACT kifikra mkuu.Juzi nimemuona kwenye mtandao akimkasirikia Mbatia.Alihama CHADEMA kwa matusi mengi sana lakini viongozi wake wakaja kuungana na CHADEMA .Sasa sijui anajiskiaje. Vijana wajifunze siasa waachane na mihemko.Niliwashauri hivyo
Tutajie ziko mkoa gani.matusi ya nini brother jenga hoja mkuu.
Du....! Aiseee Kamanda hapa umemaliza kila kitu kumbe jamaa ni mchumia tumbo tu. Bravo
mwenyekiti wa chama cha chadema na KUB na mwenyekiti wa ukawa(bokoharam) kwa mjibi wa nape leo asubihi ameonekana kwenye runinga akisinzia, tabia hii ni hatari kuwa na wabunge wakusinzia bungeni. amka mwenyekiti.
Mimi ni mwanachama mtiifu wa CHAUSTA na ninakipenda sana. Nccr ndio nini hebu wewe kijana wa chadema unikome kama.......