Pinda asinzia Bungeni asubuhi hii

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,132
1,571
Waziri Mkuu Pinda Mwenyekiti wa caucus ya CCM Bungeni na mwenyekiti wa Tanzania kwanza (Wasaka Tonge ) kwa mujibi wa Seif Khatibu leo asubuhi ameonekana kwenye runinga akisinzia, tabia hii ni hatari kuwa na wabunge wakusinzia bungeni. Amka mwenyekiti.
 
Niko hapa Dodoma MJENGONI, nami nimemuona pinda akichapa usingizi mzito
 
tz1mbatia.jpg
 
Tarifa mbowe unahamishia kwa pinda we bavicha vipi jitambue mkuu.
 
Waziri Mkuu Pinda Mwenyekiti wa caucus ya CCM Bungeni na mwenyekiti wa Tanzania kwanza (Wasaka Tonge ) kwa mujibi wa Seif Khatibu leo asubuhi ameonekana kwenye runinga akisinzia, tabia hii ni hatari kuwa na wabunge wakusinzia bungeni. Amka mwenyekiti.
Watu wanasinzia darasani na kwenye ndege wakati iko angani kwani bungeni nini cha ajabu.
 
Copy na Ku-paste bavicha hakutawasaidia.

Mods, Please tuondolee huu uzi.
Kinachowasumbua hawa vijana ni kutotaka kusikia upande wa pili wa "manabii" wao. Kwahiyo muanzisha thread lengo lake ni kujibu mashambulizi kuhusu Mbowe kukoroma bungeni leo.
 
Mbona unabishana na Kilichotokea ?
 
kwa sura yake ile lazima asinzie sana tu,
wasira pia ameonekana asubuhi hii anatoa udenda na anakoroma balaa.
 
Waziri Mkuu Pinda Mwenyekiti wa caucus ya CCM Bungeni na mwenyekiti wa Tanzania kwanza (Wasaka Tonge ) kwa mujibi wa Seif Khatibu leo asubuhi ameonekana kwenye runinga akisinzia, tabia hii ni hatari kuwa na wabunge wakusinzia bungeni. Amka mwenyekiti.

MBOWE ASINZIA BUNGENI ASUBUHI HII

Mwenyekiti wa chama cha
CHADEMA na KUB na mwenyekiti
wa UKAWA leo asubuhi
ameonekana kwenye runinga
akisinzia, tabia hii ni hatari kuwa
na wabunge wakusinzia bungeni.
Amka mwenyekiti.

BOKO KHARAM
 
Back
Top Bottom