kigoma mjini
Member
- Dec 1, 2013
- 95
- 9
Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA na KUB na mwenyekiti wa UKAWA leo asubuhi ameonekana kwenye runinga akisinzia, tabia hii ni hatari kuwa na wabunge wakusinzia bungeni. Amka mwenyekiti.
We kauzu kweli mgongee like basi mwenzako...Pro-Chadema watasema anatafakari hotuba ya Wenje.
Aisee we jamaa unayejiita kigoma mjini wewe si mwana NCCR mageuzi, sasa mbona unaleta udaku kwa kiongozi wako wa UKAWA? hakya mungu huu UKAWA ni ukahawia kweli yani wanachama sijui hamuutaki?
Pro-Chadema watasema anatafakari hotuba ya Wenje.
Wasira na Komba huwa wanakoroma kabisa sijui ndo tafakari kubwa!
mwenyekiti wa chama cha chadema na KUB na mwenyekiti wa ukawa(bokoharam) kwa mjibi wa nape leo asubihi ameonekana kwenye runinga akisinzia, tabia hii ni hatari kuwa na wabunge wakusinzia bungeni. amka mwenyekiti.
Aisee we jamaa unayejiita kigoma mjini wewe si mwana NCCR mageuzi, sasa mbona unaleta udaku kwa kiongozi wako wa UKAWA? hakya mungu huu UKAWA ni ukahawia kweli yani wanachama sijui hamuutaki?
Kama tutakuwa tunaanzisha thread tukiona mbunge amesinzia basi forum itajaa threads za kusisinzia kwa Wassira, Komba...
Leteni kinachoendela bungeni sio vitu kama hivi.
watu wameanza kurithi sasa, ukweli unaanza kujulikana.
Siku hzi umechanganyikiwa hujielewi kijana jitafakari upya.Mimi ni mwanachama mtiifu wa CHAUSTA na ninakipenda sana. Nccr ndio nini hebu wewe kijana wa chadema unikome kama.......