msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,886
ndio tabia yake huyo!!!
Tutajie ziko mkoa gani.
nimefurahi tu alivyosema kwa mujibu wa nape nauye, hahahaha, lohWeka picha acha longolongo.........
Du....! Aiseee Kamanda hapa umemaliza kila kitu kumbe jamaa ni mchumia tumbo tu. Bravo
Mambo ya kukeshea mitungi hayo.
Mkuu si umesema umeachana na siasa ama?
Pro-Chadema watasema anatafakari hotuba ya Wenje.