Ha ha ha Halafu unakuta mtu kama huyu anaitetea ccm ...utakuta maisha yake tia maji tia maji...na ana watoto / hii
nchi chini ya ccm ni giza mbeleni....Juzi meno ya tembo yamekamatwa uswiss airport...ila hapa airport ya dar yalipita.....
Embu tumieni akili basi kidogo mtoa mada....Kila kitu kishaibwa..tunataka kuanza upya..usiwe kizuizi..utabeba laana ya vizazi vijavyo bure.
magufuli ni wa kunadi yule?! kila mtz amjua kwa utendaji wake. nyie huyo mzee wa magumashi a.k.a lowasa mtaanza muosha lini? nasikia sabuni na dodoki vishafika
magufuli ashajinadi mwenyewe toka waziri kipindi cha mzee mkapa, nyie ndo muomgeze nguvu kumsafisha mzee wa magumashi. hajui hata ongea mbele za watu, ana elhzimer disease yule, atatufia ikulu turudie uchaguzi
Ha ha ha Halafu unakuta mtu kama huyu anaitetea ccm ...utakuta maisha yake tia maji tia maji...na ana watoto / hii
nchi chini ya ccm ni giza mbeleni....Juzi meno ya tembo yamekamatwa uswiss airport...ila hapa airport ya dar yalipita.....
Embu tumieni akili basi kidogo mtoa mada....Kila kitu kishaibwa..tunataka kuanza upya..usiwe kizuizi..utabeba laana ya vizazi vijavyo bure.
hakika mwenyekiti wa chadema mbowe anasisitiza ukweli, kwamba namba hazidanganyi. anajua sana biashara ndo maana kahamishia nguvu zote kwenye biashara ya siasa maana yamlipa sana.
mwaka 2010 alimuona slaa ni dhahabu, akamshawishi agombee urais akijua kabisa hatashinda ila atasaidia ongeza idadi ya wabunge na hatimaye ruzuku. akaenda bank akachukua mkopo akamnadi slaa, ruzuku ni tele na kapata superprofit kwa uwekezaji wake wa 2010.
sasa hii 2015 kaiona fursa kwa lowasa, sijui kwa hesabu zake ameona atavuna ngapi hadi kufikia 2020. ajua mwenyewe kichwani. slaa ameambiwa kaa kando baada ya kuwaingizia pesa za kutosha.
kweli mbowe katumwa pesa dar.

View attachment 274498
Hilo la kuwa kuwa hajui hata kuongea mbele za watu (tena ngoja niongeze, kwa mbwembwe) unadhihirisha picha yangu hapo juu. Musa naye pamoja na kazi kubwa aliyokuwa amepewa na MUNGU kuwakomboa Wana wa Israel alilalamika kuwa mbona yeye hawezi kuongea maneno mengi mbele za watu? MUNGU akamwambia nitakupatia Haruni awe msemaji wako.
Sasa Lowasa anao akina Haruni wengi sana wa kuongea ndani ya Ukawa ili atimize kazi aliyopewa.
Mtaishia ivyoivyo sisi tunaekea ikulu na Lowassa wetu.
Daaa kweli kabisa kaka. .mimi nadhani kwa kijana yoyote wa nchi hii hawezi kusapoti uongozi uliopo na taasisi yao (ccm) labda awe na walakini asiye ona maovu na dhuluma zinazoendelea. .Au labda awe na ahadi kama alizopata Makondakta. ..lakini pia unapaswa kifikiria wengine na nchi yako kwa ujumla
Mbowe anakufikiria wewe?
Nyie CCM hamna mgombea wa kumnadi?
Hiyo tusubiri naimani atatamka tu. Muda bado..Hoja nzuri kuwa Ukawa watasimamia rasimu ya Warioba. Hata hivyo Lowasa hajawahi kutamka hadharani kwenye suala la Katiba yuko Upande gani
Hilo la afai, siwezi kuliongelea manake lile SI jambo la mtu mmoja mmoja BALI ni la Taifa zima.na wanaomjua kwa hulka yake ya kupenda sana madaraka haielekei kuwa Lowasa ndo mtu anayefaa kusimamia hoja hiyo. Tusisahau Lowasa maisha yake yote toka ujana hadi anakuwa mzee yamekuwa ni CCM. Wiki chache kabla ya kuhama alitamka kuwa maisha yake ni CCM.
Kumbuka MAkufuli Amewekwa na JK"Mwenye MWANA". Na Pia Sera za ccm sio sera ya Mgombea Binafsi bali ni ya system NZima,. Kwa maana hiyo Magufuli hana atakchoongeza sana sana na yeye aanze kuuza Twiga na Rasilimali za Taifa kam ilivyo Ada kwa viongozi we CCM. MAgufuli amewekwa PAle ili kuua MAkundi ndani ya CCM. Jambo hili halijawezekana pia.Hilo linathibitishwa na jinsi ambavyo amekuwa akiongea baada ya kuhamia Ukawa. Zaidi sana amekuwa akilalamikia uonevu aliofanyiwa akiwa CCM. Wengi wanaweza kukubaliana naye. Hata hivyo alikuwemo CCM akiwa kiongozi mwandamizi ndani ya chama hicho kwa Miaka mingi mno. Ni vigumu sana kuamini kama Lowasa anaweza akafanya mambo tofauti na alivyofanya akiwa CCM kuliko kuamini kuwa Magufuli anaweza akafanya mambo tofauti. Magufuli hakuwahi hata kuwa kiongozi wa tawi - entirely ni mtu mpya kabisa katika safu za kiutendaji za CCM na anaweza akaja na jipya kuliko Lowasa ambaye kuwepo kwake kwenye "top ranks" za CCM kwa muda mrefu kuna mfanya awe CCM zaidi kuliko hata Magufuli. Litakuja lile swali walilokuwa wakiulizana wana reformation baada ya mpasuko ndani ya Kanisa miaka ile kuwa "is Luther a Lutheran??".
Mh hapa sijaelewa ni hoja gani mfano aliyoisema imekaa kisisiemu. nachojua huwa anapenda kusema anayatafuta mabadiliko nje ya ccm. Nachoona EL ana utulivu Mzuri unaoweza kumfanya mtu yoyote aone Kuwa Hatetereki.Baada ya Lowasa kuingia Chadema, anaonekana kubeba hoja za ki CCM CCM zaidi kuliko hata wale waliobaki CCM. Swali litakuwa "Is Lowasa representiing Ukawa ideals??".
Hapo wengi tumejikwaa na hatuoni Lowasa akisimamia hoja za Ukawa. Sana sana kuwepo kwake ukawa kunaifanya CCM iliyobaki iungane zaidi kuliko ilivyokuwa huko nyuma. Jambo hili ni baya zaidi. Mpasuko uliokuwemo ndani ya CCM ndio wengi tulitarajia kiisaidie sana Ukawa. Sasa hivi CCM wana "re-group" wakati Ukawa imepoteza nyota wake wakuu. Hili si jambo la kudharau hata kidogo. Wale wanaopiga makelele tu kuwa Ukawa itashinda si vibaya wakafanya analysis isiyo na chembe ya unafiki huko Majimboni.
At least wewe umesema ninayoyafikiria.
Mbowe kauza Chama, hafai kabisa huyu jamaa.
Watanzania lazma tuamke.huu sio wakati wa kulala hata kwa lisaa limoja.
Lazma tuangalie kwa kina aina ya mabadiliko tunayopigiwa kelele kila siku.Tupime na tujiridhishe kama kweli tunahitaji mabadiliko ya aina hii.Na tujue ukweli wa mambo kama hawa vinara wanaotuponza kila siku kupigwa virungu na polisi kuwa ni kweli nia zao ni kutuletea mabadiliko yatakayotufaa sisi wananchi au mabadiliko wanayoyatangaza ni ya kumtoa mtawala na kuwaweka wao wajilimbikizie mali ambazo kwa sasa hawana fursa nazo.
Kupitia tukio hili la EDWARD LOWASSA kupewa nafasi ya kugombea uraisi kupitia UKAWA,ni wazi kuwa mabadiliko yanayotangazwa ni ya kunufaisha matumbo yao na wala sio ya kutunufaisha watanzania.
Nasema hivi kwa sababu zifuatazo.
1.Edward Lowassa ni fisadi mkubwa nchini Tanzania alietumia pesa nyingi ili tu aende Ikulu.Viongozi hao hao wa ukawa ndio walotufunua macho juu ya ufisadi wa Lowassa kupitia Richmond na mali zake zingine.Leo ni unafki upi ulowafanya wampe nafasi hiyo?
2.UKAWA ni wapigania serikali tatu wakati E L ni mpigania serikali moja.
3.Kupewa nafasi kwa EL kugombea ukawa kunasemwa kila kona kuwa kuna harufu ya kuhongwa kwa watu walotoa nafac hiyo.
4.Kujiondoa kwa LIPUMBA NA SLAA