anasema deal lilikua na mkulu, tunasubiri mkulu na kina nape watumalizie hili saga, wakikaa kimya ccm huna sababu ya kuipigia kura ccm hata kidogohatumbagui kwa rangi wala kabila ila hatumtaki kwa sababu ni mla rushwa na fisadi.
anasema deal lilikua na mkulu, tunasubiri mkulu na kina nape watumalizie hili saga, wakikaa kimya ccm huna sababu ya kuipigia kura ccm hata kidogohatumbagui kwa rangi wala kabila ila hatumtaki kwa sababu ni mla rushwa na fisadi.
Umechokoza nyuki, taja wengine ila usiguse mwenyekiti kabisa
At least wewe umesema ninayoyafikiria.
Mbowe kauza Chama, hafai kabisa huyu jamaa.
Nililiona hili pale alipotoka ZZK...watu wakafichwa wasijue katoka kwa nn na kesi juu...anaepinga muulize ZZK alishtakiwa kwa nn kama atakupa jibu humu...ukweli alihoji matumizi mabaya ya pesa kivipi watu waseme wanaenda kustawisha chama uingereza ingali wanakula raha Dubai...wakamtimua na kesi juu...sasa leo kakiuza chama kabisa na nyie mnaopiga kelele endeleeni tuu mtaona ukweli wa haya maneno baadae...amkeni Watz wenzenu wanapiga fedha nyie kelele na mapovu yanawatoka na umaskini wenu...Prof ana akili ndio maana kawa Prof....
kikubwa ni kuitoa CCM madarakani, hayo mengine hayatuhusu!
kikubwa ni kuitoa CCM madarakani, hayo mengine hayatuhusu!
* Kama UKAWA wanaingia kwenye uchaguzi bila Lipumba na Slaa wewe kinachokuuma ni nini hasa? Kinachokukera ni namna Mbowe alivyounganisha UKAWA bila ya hao wawili? Au kinachokuudhi ni jinsi wana UKAWA walivyo na umoja katika kutaka mabadiliko hata bila kuwepo viongozi wote wa mwanzo? Ulitaka UKAWA isambaratike?Sio Kosa Lako.Hilo Jina Lako La Kiwelu Inaonesha Ni Mtu Wa Aina Gani.Unatetea Hao Mafisadi Kwa Maslahi Yapi.Na Ndio Mnaotusumbua Mjini Hapa.
Ila Mkae Mkijua Kua Kuingia Kwenye Uchaguzi Mkuu Mwezi Octoba Bila Ya Dr.Slaa Na Prof.Lipumba.Ni Sawa Na Kumleta Mbuzi Wako Mnadani Hasie Na Miguu Wala Kichwa.Hauziki!
Kama Mpaka Leo Bado Hujui Kama Mbowe Kanunuliwa.Basi Lazima Wewe Utakua Ni Mpumbavu Wa Mwisho.* Wewe kiumbe haya mambo ya siasa huyajui, wewe unachojua ni mambo ya akina Ali Kiba na Wema Sepetu, tuliza kopo hilo hujui chochote zaidi ya kuropoka kama kasuku...
* Huna akili, unamuita mtu fisadi bila ushahidi wowote zaidi ya kubwatuka tu, kama Mbowe anakupa hangover, njoo na hoja, sio unaleta mihemko yako hapa JF ili na wewe uonekane umeanzisha thread..
* There is no substance in your statements, pie in the sky...
* Kama UKAWA wanaingia kwenye uchaguzi bila Lipumba na Slaa wewe kinachokuuma ni nini hasa? Kinachokukera ni namna Mbowe alivyounganisha UKAWA bila ya hao wawili? Au kinachokuudhi ni jinsi wana UKAWA walivyo na umoja katika kutaka mabadiliko hata bila kuwepo viongozi wote wa mwanzo? Ulitaka UKAWA isambaratike?
Kama Mpaka Leo Bado Hujui Kama Mbowe Kanunuliwa.Basi Lazima Wewe Utakua Ni Mpumbavu Wa Mwisho.
Na Hata Huyo Lowassa Kama Yeye Sio Fisadi Na Hakuusika Na Kashfa Ya Richmond Kwanini Alikubali Kujiuzulu?.Na Vp Km Angeteuliwa Kua Mgombea Wa Uraisi Wa CCM Angeyazungumza Yale Aliyoyazungumza.
Lowassa Ni An "Opportunistic Politician" Na Yuko Kimaslahi Yake Binafsi.Na Vilaza Kama Ww Ndo Mnaomshabikia.Lakini Binadamu Mwenye Akili Timamu Hawezi Kumsupport Lowassa.
* Kama unahisi ni pigo, wewe CCM kwanini usifurahie? maana kama kuna mtikisiko CCM ndiyo itashinda vizuri, cha ajabu wewe CCM ndiye unayehangaika kuwaonea huruma UKAWA kuliko hata wana UKAWA wenyewe....Kuondoka Kwa Viongozi Waandamizi Wa UKAWA Ni Kasoro Na Pigo Kubwa.Na Ni Ishara Kua UKAWA Haiaminiki Tena.Na Ni Dalili Ya Wazi Kua UKAWA Inakwenda Kuanguka Vibaya Mwezi Octoba.Endelea Kujipa Matumaini Mvuke!