Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

kweli siasa za bongo.tusitake kudanganyana mwanzo wanasema ccm chama cha mafisadi leoo hii wanawachukua wanachama hao hao mafisadi kuwa weka kwenye chama.huuu nao ni ufisadi pia inaonesha jinsi gani uongozi unavyotafutwa kwa nguvu.
 

inaonekana hauna hoja unaongelea habari za vijiweni tu mi nimekwambia unipe ushahidi unanipa maelezo chuki yako binafsi hahisaidii
 
Kwani huko ccm kafukuzwa? Namshauri atulie hukohuko ccm kwa amani vinginevyo ataporomoka kisiasa kupita maelezo yote!
 
Nina maono ya kuona mbali kuwa kama Lowassa, atajiunga na upinzani basi mwisho wa upinzani utakuwa umefika .

Kwani CHADEMA watashindwa kwa kishindo alafu pia CCM watamvua nguo Lowassa kuwa ni fisadi na ndiyo sababu ya yeye kukatwa.

Nasikitika sana upinzani watakuwa wanajiua wenyewe.
 
Wee hasara tupu, toka huna chochote, huna faida, Lowassa njoo haraka...

WW NDO UTOKE MI PIA NAJIUNGA NA CCM CHADEMA HII ILIPONGA RICHMOND ASILMIA 220 LEO WAMPOKEE LOWASA ASIMAME KUTAFUTA URAISI SAAA NITAAMINI HAWA WOOOTE WANAganga njaa hakuna mzalendo wala nn
 

Hayo maono yako nenda ukamsaidie makomeo akubaliwe na wabunge wa ccm,ndandambwe weye.
 

Tatizo lako unadhani wote ni sawa na Baba yako ambaye deal zake ni madawa ya kulevya na Babu yako ambaye hana dini pole.
 
Wee hasara tupu, toka huna chochote, huna faida, Lowassa njoo haraka...

WW NDO UTOKE MI PIA NAJIUNGA NA CCM CHADEMA HII ILIPONGA RICHMOND ASILMIA 220 LEO WAMPOKEE LOWASA ASIMAME KUTAFUTA URAISI SAAA NITAAMINI HAWA WOOOTE WANAganga njaa hahuna mzalendo wala nn
 
waliodai au kutuhumu kua lowasa ni fisadi,ni chadema katika ile list of shame, so kama ccm wameshindwa kumpeleka mahakaman then ni wakat muafaka sasa cdm wakipata dola kupeleka mafisadi wote mahakaman akiwemo lowasa.Labda sasa cdm watuambie list ile ya mwembe yanga ilikua sio ya kweli
 
Endelea kumpenda hapendeki teh teh teh wenzio wameshagawana hisa subiri maagizo tu!hutaki toka!

Umemaliza kubwia unga ndiyo unakuja huku,Wenzio tunajali Taifa letu.Muulize Babu yako sababu zilizomfanya aamue kumtetea Lowassa ni nini ndiyo uje huku
 

Umeona vyema!!!
 
Watu wanabadilika sana, watu walisema Chadema wakimuondoa Zitto ndio mwisho wao, lakini chama kimeendelea kushamiri kuliko wakati mwingine ule wa history yake. Muache aje tukishindwana ataondoka. Mbona yule mwingine kahamia TADEA? Sioni tatizo, aje ila asije na uchafu wake. Tunaongozwa na Katiba sio fikra za mwenyekiti..
 
Lowassa hana lolote ni bubu kama mabubu wengine hana jeuri ya kuhama ccm ni mwoga sanaaaa!! Mzee wa maamuzi magumu wapi maamuzi magumu Lowasa? Dhaifu sana wewe!
 
mwenyekiti kwa hili hakika hufai kabisa hakuna mkubwa zaidi ya chama shobo za nini kwa huyu mtuhumiwa wa ufisadi?ccm wakimpitisha mtatangaza ushindi saa 4 asubuhi?CDM unataka iwe ngazi ya mkimbilia ikulu kutimiza ndoto zao kututumia wanachama na wafia cdm ambao wamejitoa miaka yote na kuamini cdm ndio chama cha kutetea wanyonge wa tanzania leo unageuka tafadhari kwa hili hufai na umekosea
 
inaonekana hauna hoja unaongelea habari za vijiweni tu mi nimekwambia unipe ushahidi unanipa maelezo chuki yako binafsi hahisaidii

Sina sababu ya kuwa na CHUKI na LOWASSA ,sawa ninachoongelea ndicho kilivyo.Ameutaka urais akaamua kupoteza pesa zake nyingi kununua wajumbe wa kumpigia kura,hutaki acha.

Lakini kiongozi yeyote anayeutaka urais mpaka kuutafuta kwa pesa hatumuhitaji.

Huyu ndiyo yule muhusika number moja wa Richmond ,kwa hiyo leo ndiyo amekuwa mzuri?Huyu aliyepata utajiri wake kwa kutumia wahanga wa njaa miaka ya 80,leo amekuwa mzuri?

Hivi wakati wanachama wa CDM wanapigwa na wengine kuuawa,sijawahi kumsikia hata siku moja akikemea hilo leo amekuwa mzuri kuliko wale waliopata kipigo cha polisi?

Mbowe kama Mwenyekiti anapaswa kuwaheshimu wanachama wa CDM na kuwathamini,kama anadhani ni bora Lowassa kuliko wanachama 100 wa kawaida ok then amlete Lowassa ndani halafu aone kitakachotokea.

Siongei kwa kutisha ila naongea sababu kumepote pesa za walipa kodi kukifanya CDM kiwe hapo,akicheza na kiberiti aangalie asije unguza nyumba

SIna chuki na Lowassa ila hatuhitaji watu wanunuao vyeo.Usitegemee uweke tone la sumu ya panya kwenye maji halafu uniambie haya maji yako mengi hayana sumu,duh!

Ukishaingiza Simba kwenye zizi,tegemea kuvuna ngozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…