Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,980
Karibu lowassa
mbowe usituharibie chama.
labda aje kuwa mwanachama wa kawaida vinginevyo narudisha kadi.atasafishwaje huyu fisadi?hapo zitto atawapigia bao.
Kabadilika lini kuwa malaika?!Ubaguzi huu utaisha lini? Lowassa ni nyani?
Unawasiwasi gani kamtaja Lowassa soma Tanzania Daima au Raia Tanzania au sikiliza kipindi cha Kupaka rangi Magic FM kinaendelea.Mkuu sikusikia/kusoma habari magazetini. Amemtaja kabisa 'Edward Lowassa' au kwa kusema ni chama vha watanzania wote, ndiyo mgu una feel kuwa invited?
Nakaribisha ujio wa Lowassa ukawa/chadema Lakini asiwe mgombea urais. Lowassa akipitishwa kugombea urais ukawa nitapiga Kura yangu ya kumchagua Rais CCM.
Mnyika atapata Kura yangu kwa utendaji wake na si tena kwa mapenzi ya chama
Mnakaribisha safari ya matumaini au ya MATUMIZI.?
Kama ni hivyo acha ccm waendelee kutawala mpaka utakapo zaliwa upinzani wa ukweli.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mh. Aikael Mbowe amemkaribisha rasmi Edward Lowassa kwenye chama hicho.
Amesema CHADEMA ni chama cha watanzania wote, ameongeza kusema kuwa mgombea yeyote atakayewakilisha UKAWA ndiye atakayekuwa rais.
Chanzo: Habari Magazetini.
Unawasiwasi-gani kamtaja Lowassa soma Tanzania Daima au Raia Tanzania au sikikiza kipindi cha Kupaka rangi Magic FM kinaendelea.
Kwani wewe nani katika chadema kwani hujui kuwa chadema ni chamacha nyumbani hivyo lazima kiongozwe na watu wa nyumbani.mbowe usituharibie chama.