lopinavir
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 188
- 122
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa mh. Freemam Mbowe amemkaribisha Lowassa kujiunga na CHADEMA hakibagui mtu ili mradi tu afuate kanuni na taratibu za chama.
Source: Tanzania Daima, Mwananchi
Ikitokea akakaribishwa UKAWA,basi wanasiasa wa upinzani watakuwa wamechemka!haiwezekani mtu waliempigia kelele kiwa ni mwizi,leo hii waungane nae!imani ya upinzani itapotea!