Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

mkuu kama hii habari ni ya kweli mtakua sasa mmeanza kuvimbiwa!! huyu jamaa si wenyewe ndo mlimuandika kwenye ile list of shame?

Walijidai wameanza na Mungu sasa wanamaliza na shetani! Na ufalme wao umefitinika BABU kawalostisha maana yule ndo engne cdm!
 
Ha ha ha "wawekezaji" nimecheka sana aisee! Umegonga presure point! Tokea lini mchaga akafanya biashara kichaa!!? Lazima walambe fedha za EL wampe ugombea tu, Slaa atajiju!

ha ha ha ha mkuu hao wameikabidhi kwa Wawekezaji wazawa na mwarabu!
 
Duu hivi bado tu huelewi Katiba ya chama kitu gani?M/kiti kaivuruga kwa makusudi ili aendelee kuwepo na kuathiri maamuzi yule ni mfanya biashara ndo ujue keshakaribisha wawekezaji wenye hela teh teh teh WENYE CHAMA NDO WANAAMUA WENGINE MSIOTAKA AU KUKUBALIANA NA MAAMUZI YA WAMILIKI MUONDOKE!!!

Kama unataka kuchangia changia vitu vyenye maana,usitake kuudhi watu.

Wewe mwenyewe huijui katiba ya chama chako utajua vyama vingine?Hivi unadhani nani asiyejua chaguo la Mwenyekiti wako ni Kaka yake Maembe?Hivi nani asiyejua mipango ya mwenyekiti wako kukifanya CCM kuwa chama cha familia?

Hivi unadhani watanzania tupo wapumbavu mno hatujui wala kuelewa kilichotokea?Hivi buyo mnayesema ndiyo anapeperusha benderanya CCM si mwizi kama wengine?Si ndiyo huyo aliyeuza yumba za serikali mpaka kubonha nyingine kwa mahara na marafiki zake?

Hivi nani asiyejua Last Boy aliponenea chupuchupu kuondolewa lakini ikabidi mdingi auze part ya ardhi ya Bwagamoyo kunusuru maisha hq last boy

Ukitaka kuchangia hoja za kujenga njoo la unataka za kufanya watu wakutukane basi usi comment
 
Mambo ya siasa ni target mi sioni tatizo la EL kwenda chadema unafikili wao wanawaza kupenda kupoteza? Akija atafuata sheria na kanuni za chama. Kusema EL ni fisadi sisiem imeshindwa kuthibitisha kwakutomchukulia hatua. So tuache siasa ubaguzi kama sisiem. Sikuzote chama chochote nia ni kuongoza (kushika dola) kwanjia yoyote ile kwahiyo akienda CDM upinzani hoyeeee.

Ccm sio waliosema Lowassa fisadi na mwizi ni chadema na Slaa wenu. Nyie bangi na viroba vinadhuru sana.
 
Dk. Slaa amemzungumzia Lowasa zaidi ya mara moja kwa maneno yake si kunukuliwa kuwa Lowasa sio muadilifu kabisa.Napata wakati mgumu nikikumbuka kuwa kuna watanzania wamekufa,kujeruhiwa hadi wengine kupata ulemavu wa kudumu katika mikutano ya Chadema iliyokuwa ikipinga rushwa,ufisadi,ukandamizaji na uporaji wa mali za watanzania unaofanywa Na CCM.Mikutano hiyo mingi ilikuwa inahutubiwa na viongozi wa Taifa haswa Mbowe na Dk.Slaa wakiwataja viongozi waliowaona sio waadilifu.Leo wako tayari kwa mikono yao kumpokea kiongozi waliosema sio msafi,muadilifu wamesahau walichowaambia watanzania.
 
Umenifurahisha mahali nilipokuwa nimekasirika.Anyway hiyo kura unaipigia wapi?Mie ni mwanachama wa kawaida kabisa.Na ninasemea moyo wangu sababu naipenda sana nchi yangu.

Nimesikitishwa na baadhi ya mawazo ya wabunge wa CDM ya kumkaribisha Lowassa,hivi CDM imekuwa depsrate kiasi cha kutafuta mafisadi kuwa wagombea wa urais?

Hivi CDM hakuna presidential material mpaka tupate pumba toka CCM?Maan bora pumba ya mahindi ya mpunganile inayotumika kuchomea matofali huko kwetu.

Hivi Mbowe anajua ukaribisho wake maana yake nini kwa chama na watanzania?

Hivi Mbowe ametuona watanzania wapumbavu mno kiasi kwamba akisema chochote basi tutapiga makofi?

Kama hajui basi ningependa kumwambia CDM siyo taasisi yake anaweza kufukuzwa vile vile akaiacha.

Ila swali langu kwako mie kama mie naenda kupiga wapi kura ya kutokuwa na imani na mwenyekiti?

Ninachompendea Dr.Slaa anasimamia uamuzi wake.Na akiondoka hakika Mbowe ajue atabaki na yale makabrasha yake ampelekee Mtei.Ila ka.a atatuelewa akamwambie Mtei Taifa kwanza chama baadaye.Chama kwanza Lowassa baadaye.

Kama Mbowe hajui CDM ina nafasi gani kwa watanzania ni bora ajiuzulu apishe wengine.

Ni mmachame mwenzangu kwa hili sitomuunga mkono kamwe.

Kaka ni bora Taifa kuliko chama.Chama kitakufa lakini si Taifa.Ni Chama kwanza Lowassa baadaye.

Bila Lowassa CDM inaweza.

Nimekupenda bure

Bila Lowasa CDM inaweza:thumbup:

Mungu bariki CDM
 
Kuanzia mwanzo tulishasema safu ya uongozi ya Chadema ni nyembamba sana.

Lowasa yule yule waliyemtangaza ni Fisadi, Leo hii wanampigia magoti aungane nao.

Nimeamini kuwa Chadema ni wanafiki na Hawaaminiki.
 
Walijidai wameanza na Mungu sasa wanamaliza na shetani! Na ufalme wao umefitinika BABU kawalostisha maana yule ndo engne cdm!



Chadema ni genge la wapiga dili.

Hapo wameshachungulia Fursa.... Hawana agenda ya kitaifa wanaangalia namna gani watatengeneza fedha
 
Jamani kuna uvumi ulioenea kwenye mitandao kuwa Lowasa akija Ukawa anapewa nafasi ya kugombea uraisi kupitia muungano huo. Sasa najiuliza, hivi Ukawa wamejiandaa kweli kushika dola ikitokea wameshika? Maana kama wanategemea kukodi mtu kutoka ccm ndo aje apeperushe bendera manake Ukawa hawana uwezo wa kushika dola. Asanteni
 
Kama unataka kuchangia changia vitu vyenye maana,usitake kuudhi watu.

Wewe mwenyewe huijui katiba ya chama chako utajua vyama vingine?Hivi unadhani nani asiyejua chaguo la Mwenyekiti wako ni Kaka yake Maembe?Hivi nani asiyejua mipango ya mwenyekiti wako kukifanya CCM kuwa chama cha familia?

Hivi unadhani watanzania tupo wapumbavu mno hatujui wala kuelewa kilichotokea?Hivi buyo mnayesema ndiyo anapeperusha benderanya CCM si mwizi kama wengine?Si ndiyo huyo aliyeuza yumba za serikali mpaka kubonha nyingine kwa mahara na marafiki zake?

Hivi nani asiyejua Last Boy aliponenea chupuchupu kuondolewa lakini ikabidi mdingi auze part ya ardhi ya Bwagamoyo kunusuru maisha hq last boy

Ukitaka kuchangia hoja za kujenga njoo la unataka za kufanya watu wakutukane basi usi comment

Tangu lini nikatoa mchango wa kukufurahisha wewe! Nakujua BAVICHA wewe na kwa hatua hii unaanza kuweweseka! chama cha Familia kiko wapi Magufuli ni mwana Familia? Au umekosa cha kuongea nenda mtaa wa Ufipa ndo utakikuta chama cha Familia wewe!mtasubiri sana kwenu CDM wawekezaji wameshavamia na tayari wamegawana hisa!babu kalamba hisa kibao na Mwenyekiti,Dr.Kabakia kushangaa kama unabisha kawaulize mtaa wa Ufipa, sijui unasema nini? Mkiambiwa kuna mchwa mnatoa maneno ya ovyo, maamuzi ya Dodoma ndo yamewakata miguu maana mlitarajia mtapata mteremko lakini mmejikuta mnakula za uso!
 
Mbona mm cjamskia lowassa mwenye kwenye vyombo vya habari akitangaza kujiunga chadema!?
 
Back
Top Bottom