Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Well said mkuu Papa 1 nimekusoma vizur sn natumaini na wengine woto watasoma na kukuelewa.
 
Labda aje kuwa mwanachama wa kawaida vinginevyo narudisha kadi.atasafishwaje huyu fisadi?hapo Zitto atawapigia bao.




Ni bora urudishe kadi yako peke yako ili UKAWA wapokee wapiga kura wapya milioni 8 nchi nzima wanaomuunga mkono Lowasa.
Ukijumlisha na wale milioni 3 wa UKAWA itakua ni mil. 11. Ushindi wa kishindo.
 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mh. Aikael Mbowe amemkaribisha rasmi Edward Lowassa kwenye chama hicho.

Amesema CHADEMA ni chama cha watanzania wote, ameongeza kusema kuwa mgombea yeyote atakayewakilisha UKAWA ndiye atakayekuwa rais.

Chanzo: Habari Magazetini.
Anamkaribisha chadema kwani amejitoa ccm?
 
Kama ikibidi kumtumia Lowasa ili kuondoa mfumo uliopo na atumike tu! Ni heri kumtumikia fisadi mmoja kwa miaka 5 kuliko kuwatumikia mafidi wengi life tym.

Mkuu umeuburdisha moyo wangu mno asubuh ya Leo,nakuonea fahari...
 
Afanyeje sasa wakati bil.10 zimewekwa mbele yake? Na Slaa haziivi, Mtei amwambia SLAA kama vipi asepe awaachie Chadema yao, kilimanjaro yao na Lowassa wao.

Nyie watoto mama mdogo Chuki na wivu ndio zitakazo watenga na rehema za Mungu
 
Ccm ndiyo wanaoonekana kuwa na huruma na CHADEMA kuwa lowasa akija CHADEMA basi chama kitakufa. Hahahaha
 
Hahahaha et chadema sasaiv wanaomba ushahid ku prov ufisadi wa lowasa, et leta ushahid kwamba lowasa nifisad mbona PCCB awamkamat, naamini lowasa angepitishwa na ccm chadema mwanzo mwisho wa kampen wangehubiri ufisad wa lowasa, SHKAMOO SIASA:banghead:

Sasa unashangaa nini hiyo ndio siasa. CDM wakimchukua EL watakuwa wameibomoa pakubwa ngome ya ccm kwaiyo hata kama anamapungufu flani ni faida kwa CDM.
 
Mwenyekiti wa CHADEMA taifa mh. Freemam Mbowe amemkaribisha Lowassa kujiunga na CHADEMA hakibagui mtu ili mradi tu afuate kanuni na taratibu za chama.

Source: Tanzania Daima, Mwananchi

Daaa siasa hizi,leo Lowassa kawa msafi na si fisadi tena ama kweli kwenye siasa hakuna adui ea kudumu wala rafiki wa kudumu hapo Mzee wa Billicanas anawaza uwaziri Mkuu tu hana lolote
 
Kama ikibidi kumtumia Lowasa ili kuondoa mfumo uliopo na atumike tu! Ni heri kumtumikia fisadi mmoja kwa miaka 5 kuliko kuwatumikia mafidi wengi life tym.



Sijawahi kuona imani kubwa kama hii katika Tanzania yote.

Tingatinga lililotumika kujenga barabara ndilo litakalotumika kubomoa barabara .Hakuna namna nyingine.
 
Wakati mwingine hatuna sababu ya kuwakana watu ambao wanabadilika, kama EL kaamua kuachana na ccm pamoja na mfumo mzima wa ccm na kaamua kuingia chama cha makamanda basi akaribishwe vizuri kabisha. Tuache kumuukumu mtu kiasi hicho.
 
Tanzania tuna safari ndefu sana kuelekea kupata za siasa na wanasiasa wa kweli,waliopo wote ni matapeli,si wa chama tawala si wa upinzani,wote tabia zao zinafanana.Nashangaa huyu Lowassa aliyetangazwa kuwa miongoni mwa mafisadi na CHADEMA, mbaya zaidi alitaka kuununua urais kupitia CCM,kumwaga mahela ktk misikiti na makanisa leo mnamtetea eti ni msafi?
 
Back
Top Bottom