Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Humu wengi ni ccm wana comment kujifanya wao ni chadema hawamtaki lowassa duu kumbe wanaongea ili kuwaamsha watu wawaunge mkono ktk kumpinga aisee
 
Haiingii akilini slaa alivyotuambia kuhusu ufisadi wa lowassa kuhusu ujenzi wa ofisi ya mbunge alivyotafuna pesa na ufisadi wa aina nyingi tu waliomsema. Huu utakuwa ni ujinga wa hali ya juu kwa watanzania wakimchagua fisadi aliyekuwa anatamkwa na kila aina ya dhambi na upinzani.
Nadhani sasa tumeelewa nini maana y'all siasa na hasa upinzani kama wenzenu wameamua kujivua gamba kwa kukesha na kuamua kumkata licha ya gharama aliyotumia kuwashawishi ccm kumpitisha leo hii mbowe bila aibu anamkaribisha ni tamaa ya viongozi wa chadema kutaka njia ya mkato kuchukua madaraka.
Chadema itakuwa ndio mwisho wao hasa magufuli akishinda wananchi hawatawaamini tena na uongo wenu.
 
Mbowe kamkaribisha Lowassa CHADEMA hajasema kuwa ana mkaribisha ili aje agombee urais kwa kupitia chama cha CHADEMA kwa sababu CHADEMA wanaye mgombea wao ambaye wamemwandaa kugombea urais kwa kupitia chama hicho.

Hata Mbowe mwenyewe hawezi akampuuza mtu aliyeandaliwa na chama kwa muda mrefu kwa ajili ya mtu anaekaribishwa kwenye chama tena ambaye hakuwa tayari kugombea urais kwa kupitia chama hicho kwani anajua kuwa kumpuuza mtu aliyeandaliwa na chama ni kukaribisha mpasuko ndani ya chama.

Hasa kipindi hiki ambacho tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu ambapo chama kinatakiwa kitulie,Mbowe atakuwa amemkaribisha Lowassa kwa kuwa ana jua kuwa Lowassa ni mtaji mkubwa wa kisiasa.

Popote atakapo hamia kwenda kuwa mwanachama wa kawaida au kwenda kuwa kiongozi wa chama anachokwenda kuhamia ni lazima atahamia na team yake iliyokuwa ina muunga mkono kitu ambacho kitakuwa ni mtaji mkubwa kwa chama anacho hamia na kilio kwa chama atakachohama.
 
Siku ile waliposema wakinaRIZ1 nchi hii hatatawala wa kaskazini sikujua maana yake,hebu ona kwa NYERERE ona kwa MWINYI ona kwa MKAPA,hawakupendelea kwao kabisa yalikuwa makabila madogo.tuepuke makabila o
makubwa.tujenge Nchi yetu.
Hii dhambi ya ubaguzi itatufikisha pabaya,Eti hawakupendelea kwao,niambie kwanini watu wengi jeshini toka e. i za Nyerere walitokea kanda ya ziwa?Kwanini kulikua na viwango tofauti vya ufaulu ktk mikoa mbalimbali?Kwanini Mkapa alileta Mtwara corridor?Unafaham kuhusu Kikwete na Bagamoyo?na mengine mengi ya upendeleo? Je Magufuli siyo kabila kubwa?
Tupime uwezo wa mtu na siyo kabila lake
 
sio kila kitu kinachosemwa jukwaani kina ukweli vingine ni kwa ajili ya kupumbaza watu ss km uyo lowasa km ni kweli fisadi mbona ajapelekwa mahakamani km kinamramba

Usipotoshe watu lowassa alijiuzu kwa nini?
 
Siku ile waliposema wakinaRIZ1 nchi hii hatatawala wa kaskazini sikujua maana yake,hebu ona kwa NYERERE ona kwa MWINYI ona kwa MKAPA,hawakupendelea kwao kabisa yalikuwa makabila madogo.tuepuke makabila makubwa.tujenge Nchi yetu.

Magufuli ni kabila dogo?
 
Haiingii akilini slaa alivyotuambia kuhusu ufisadi wa lowassa kuhusu ujenzi wa ofisi ya mbunge alivyotafuna pesa na ufisadi wa aina nyingi tu waliomsema. Huu utakuwa ni ujinga wa hali ya juu kwa watanzania wakimchagua fisadi aliyekuwa anatamkwa na kila aina ya dhambi na upinzani.
Nadhani sasa tumeelewa nini maana y'all siasa na hasa upinzani kama wenzenu wameamua kujivua gamba kwa kukesha na kuamua kumkata licha ya gharama aliyotumia kuwashawishi ccm kumpitisha leo hii mbowe bila aibu anamkaribisha ni tamaa ya viongozi wa chadema kutaka njia ya mkato kuchukua madaraka.
Chadema itakuwa ndio mwisho wao hasa magufuli akishinda wananchi hawatawaamini tena na uongo wenu.[/QUOT

CDM ni mtambo wa kurekebisha tabia bwana...
 
Hata ukawa wakishinda kwa kumtumia lowassa naomba mungu awaadhibu kwa unafiki wao na tamaa ya madaraka
 
Haiingii akilini slaa alivyotuambia kuhusu ufisadi wa lowassa kuhusu ujenzi wa ofisi ya mbunge alivyotafuna pesa na ufisadi wa aina nyingi tu waliomsema. Huu utakuwa ni ujinga wa hali ya juu kwa watanzania wakimchagua fisadi aliyekuwa anatamkwa na kila aina ya dhambi na upinzani.
Nadhani sasa tumeelewa nini maana y'all siasa na hasa upinzani kama wenzenu wameamua kujivua gamba kwa kukesha na kuamua kumkata licha ya gharama aliyotumia kuwashawishi ccm kumpitisha leo hii mbowe bila aibu anamkaribisha ni tamaa ya viongozi wa chadema kutaka njia ya mkato kuchukua madaraka.
Chadema itakuwa ndio mwisho wao hasa magufuli akishinda wananchi hawatawaamini tena na uongo wenu.[/QUOT

CDM ni mtambo wa kurekebisha tabia bwana...

Mbona walishindwa kuwarekebisha akina Zitto mpaka wakawafukuza?
 
Wampokee awe mwanachama wa kawaida vinginevyo CDM itapoteza sifa yake
 
Back
Top Bottom