Magufuli ni kabila dogo?
ndio MWANGAZA
Magufuli ni kabila dogo?
Namwomba mungu awaadhibu kwa unafiki wenu wa kupewa pesa ili mumpokee huku mlishasema hashafishiki hata kwa jik leo hii mnameza matamshi yenu.
Kwa mungu wako hana uwezo wa kukusikia wala kukujibu, lakini na kwa MUNGU aliyeumba mbingu na dunia, unampigia kelele tu....
Hii sasa kali baada ya Magufuli kuteuliwa tayari ameshakuwa msubi?.
Humu wengi ni ccm wana comment kujifanya wao ni chadema hawamtaki lowassa duu kumbe wanaongea ili kuwaamsha watu wawaunge mkono ktk kumpinga aisee
Lowasa anapendwa sana.
safari yamatumaini ipo ukawa pekee karibu mpambanaji
Kwa mungu wako hana uwezo wa kukusikia wala kukujibu, lakini na kwa MUNGU aliyeumba mbingu na dunia, unampigia kelele tu....
Kumbuka ndio huyo mungu tulikesha tukimwomba na lowassa akakatwa na ccm lakini kabla walitukebehi kama wewe unachofanya sasa hivi na pesa yote waliotumia lakini bado akashinda aliyetumia hata 10mil haifiki
Sijawahi kuona imani kubwa kama hii katika Tanzania yote.
Tingatinga lililotumika kujenga barabara ndilo litakalotumika kubomoa barabara .Hakuna namna nyingine.
Namwomba mungu awaadhibu kwa unafiki wenu wa kupewa pesa ili mumpokee huku mlishasema hashafishiki hata kwa jik leo hii mnameza matamshi yenu.
Angesafishikaje akiwa bado kwenye tope? Kama katoka na kuingia bafuni basi anasafishika na kutakata
Ha ha ha hatimaye vita kuu mbinguni imeisha!!!CHADEMA RASMI KAMBI YA MAFISADI WALIOTEMWA CCM,
Sijui Mr President yuko wapi siku hizi?naona amepotea tangu kipenzi chake Laigwanan akatwe na CC ya CCM.Mbowe safiiiii...👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Lowassa akiungana na UKAWA + ACT...naapa CCM kifo cha mendeeeeeeeeee......kwa sauti ya Prof. Lipumbaaaaaaaa
Mbowe ni mjanja sana sanaaaaaaa....
Na uhakika, Mbowe atakuwa Waziri Mkuu wa kwanza kutoka Muunganiko wa UKAWA + Lowassa...
Hakuna namna CCM itapona, hata iweje, ikiwa LOWASSA ataungana na Chadema + Cuf + Nccr + ACT... hakuna namna...!!!
Huu muunganiko ni mkubwa na very very powerful mara 100% zaidi wa ule wa Kenya 2007...👏👏👏👏👏👏👏👏
Nakaribisha ujio wa Lowassa ukawa/chadema Lakini asiwe mgombea urais. Lowassa akipitishwa kugombea urais ukawa nitapiga Kura yangu ya kumchagua Rais CCM.
Mnyika atapata Kura yangu kwa utendaji wake na si tena kwa mapenzi ya chama