MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Nimetizima Kurasa za akina Ali Kamwe, Haji Manara, Mtandao wao Klabu, Chawa wote wa Yanga SC, Mashabiki Wao Maarufu kama Rafiki yangu Carlos na wana Yanga SC wote wa hapa JamiiForums sijaona Kokote wakitucheka Simba SC kwa Kimoko cha Nguruwe tulichopigwa Jana huko nchini Guinea.
Na hii siyo Kawaida ya Watu wa Yanga SC ninaowajua Mimi je, ni kwanini wana Yanga SC hawatucheki wana Simba SC kwa Kufungwa Goli Moja na Horoya FC nchini Guinea Jana?
Nawatakia kila la Kheri Watunisia leo huko nchini Kwao Tunisia na kwa Mpira wao mkubwa wanaoucheza najua zikipungua sana ni Goli 7 au 9 Kudadadeki.