MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,238
- 50,414
Hili nimeliona kwa muda sana kwenye maisha yangu kama developer. Huwa sielewi nini sababu, ukiangalia orodha ya top programmers duniani, hakuna mweusi hata mmoja, iwe wa kutokea huku Afrika au mzawa wa Ulaya.
Ukiangalia video za kongomano nyingi za top developers, ngozi nyeupe tu na wahindi. Labda mwafrika mmoja mmoja hivi tena kwa mbali sana, unaona amezuga huko pembeni. Sitaki kuamini kwamba linahusiana na mambo ya IQ, nina uhakika Waafrika tunaweza.
Wamekuja wahandisi weupe mara nyingi kutokea Ulaya, lakini tunawalisha vumbi wakati tunahusika kwenye miradi ya pamoja.
Hii orodha hapa ya top programmers, hakuna mweusi aliyethubutu kuifikia The best living programmers