Mbona Waafrika hatupo kwenye top programmers

Mbona Waafrika hatupo kwenye top programmers

Ahsanye kwa thread nzuri. Japo mimi sio mtaalam wa haya mambo lakini naomba nichangie. Ukituangalia waafrica wengi tuna elements za kujiona wajuaji sana/dharau. Hii hupelekea kuwafanya wengi wetu kuona jambo furani yeye ndio anaweza na anakuwa mgumu kushiriksha wengine. Pia leo hii ukiwa na idea furan ukataka kuomba ushauri kwa mtu aliyefanikiwa basi utapata vikwazo kibao. Hii ndio inapelekea madevelopers wengi africa kufail. Nawasilisha
 
i. Wengi wetu programming tunaianza tukiwa na umri mkubwa mara nyingi tukifika chuo.
ii. Vyuoni hawasisitizi sana kuendeleza project ambazo huwa tunazifanya, mara nyingi ukisha present project ukapewa marks basi project unaipiga chini
iii. Hakuna matukio au mashindano mengi ya programming ya kuwaweka watu aware na kuwa inspire na kuwaongezea skills.
iv. Hatuna ushirikiano katika kufanya project, mara nyingi watu huwa wana program peke yao badala ya kuwa in teams ili ku learn from one another.


umeongea fact mkuu,tena ukute programmer wote ni men ma demu wengi hii career wako slow sana
 
Back
Top Bottom