Mbona Waafrika hatupo kwenye top programmers

Mbona Waafrika hatupo kwenye top programmers

wazazi wakiafrica nao wanatulet down ukimwambia mzee nataka niwe programmer hakuelewi.wanakazania tukasomee ualimu,udaktari,na uanasheria.vile vile mtaji na funding sources zinachangia kurudisha nyuma maendeleo ya developer africa....just imagine mzazi akuone unaamkia kwenye pc kila siku huku anategemea uamkie kwenye ofisi za watu ukatumikishwe............. though mimi nimeapa ntakuwa developer for life
nimejipanga hivi
kuhusu funds i already applied the funds from different crowd funding sources
kuhusu power i already developed solar power setup.....so that tanesco wont disturb me
Kuna Bootstrapping, Seeds na Angel investors, Don't apply for fund from bank or capitalist Venture.
 
Kuna swala la mtu kutaka kuwa kila position, pia kuna swala la kuamini kuwa Idea yako ni kubwa sana na italeta Faida kama Facebook, matokeo yake mtu anaenda kukopa Benki, Kama watu wangekuwa open wangefika Mbali
 
I'll be interested on examples for each if fund source you mentioned
Bootstrapping ni pesa yako uliyosave na uliyonayo, Angel na Seeder hawa ni investors wanaowekeza kwenye Biashara yako kwa exachange of shareholdings tofauti Seeders wanaweka pesa ndogo not concerned kama biashara yako haitafanikiwa mahali tecknolojia imekua wanatumia hii mbinu sana kama unasikia Rockefeller family au Tajiri yeyote anamkono Facebook au kwenye Startup X nk. Pia Hawa Capitalist Venture wao wanataka Big Money if you fail you loose the business you initiated au wakiamua wanauza biashara so as wanapata Faida Kubwa na Bank loan we all know
 
I know of definitions. Can you for example give us one angel investor wa Bongo?
 
Vitu vidogo vimetushinda ndo itakuwa hivi vitu vikubwa?
 
Kuna Bootstrapping, Seeds na Angel investors, Don't apply for fund from bank or capitalist Venture.
i dont use bank loans, most funders dont accept personal funding........ i tried those who accept personal funding!!!
 
I'll be interested on examples for each if fund source you mentioned
mkuu zipo kickstart/indiegogo project kutoka africa ambazo zimekuwa successfull funded. kama una idea na working prototype ambayo una uhakika ni ya kipekee ujue hela zipo

mfano mzuri ni BRCK ya Kenya jamaa walipata dola milioni 3 (zaidi ya bilioni 6 za Tz)

Kenyan Tech Startup BRCK Secures $3M In Funding

na ukicheki idea yao wala sio nzuri kivile ile wamepata
 
Mbona hakuna link ya hiyo closed deal to kickstart or Indiegogo, instead wanasema tu wamepata seeding toka kwa hao jamaa?

Its not that easy hasa kwa Africa. We need our own platform for Africa in Africa, the African way!
 
Haya yameenda mbali zaidi hadi kwenye system za kiutawala mf.Republican na Ccm au uwazi katika kuongoza ndani ya serikali ni tofauti na wenzetu sisi tumejaa ubinafsi na uwongo na kujipendekeza kwa wenye mamlaka
 
huyo wa vikapu bomba amekuwa funded katika indiegogo anatokea tena tz https://www.indiegogo.com/projects/vikapu-bomba-fantastic-baskets-from-tanzania--3#/

jamaa wa cheki.co.tz amekuwa funded kutoka kikcstart link ntaweka kesho, ndo huyo anayemiliki brightermonday.co.tz na project zao zinatumia simple wordpress plugins ila bado wamelamba mkwanja mrefu kutoka kwa wadhungu
 
Labda nisubiri huyo wa checki. Huyo wa vikapu jamaa wanaochangia kuna ka motivation wanakapata. So its not totally give give. Kwa programmer anayetoa pure service na ukichangia hakupi hata bangili, then usitarajie wengi watakuchangia.

Sikatai kwamba unaweza ku raise fedha, ila ni trial-and-error approach aka kubahatisha.

"$15 USD
Personal Artisan Postcard
As a thank you for your contribution, we will send you a postcard signed by the featured artisan "
 
jamaa wa cheki.co.tz na brightermonday kampuni yake hii hapa One Africa Media - One Africa Media na wamelamba 10m$ FUND KUTOKA SEEK SEEK - Australia's no. 1 jobs, employment, career and recruitment site SOURCE One Africa Media Raises $10m from SEEK | Acquires 100% of Nigeria's Jobberman - TechMoran
 
Hehehe Africa kazi ipo, nimekutana na very good programmers wa kiafrika toka some countries kama Nigeria wanafanya kazi top companies Google, Facebook na wako kwenye positions nzuri.

Mimi siamini kama kuna such thing kama top programmer duniani, utatumia nini ku~measure? Programming is very broad, inahusisha almost kila kitu kwenye maisha ya mtu, kigezo cha hiyo list ni nini? Amount of codes written? Amount of open source projects? Amount of famous algorithms they have implemented? I dont see anyway you'll measure na kusema kua these are the top programmers simply because tunatofautiana.

Mtu kama Linus, anaweza kua very fit in operating systems, ila hawezi mfikia Carmarck kwenye game development, bado hawawezi mfikia Andrew kwenye machine learning, in the end kila mtu ka~specialize kwenye field yake, huko anakutana na challenges tofauti kabisa.

We do have excellent African programmers, we also have crappy programmers same as every other place in the world. Tatizo letu ni lile tu kuna vitu vingi tunamiss, nilikua natafuta programmers Africa, nikacheck some guys from Nigeria kujaribu kuform a startup kipindi flani kusolve a certain problem, maswali waliyonipiga nilishangaa sana, as if I was begging na dharau kibao kua since am African maybe I cant code, watu wengi hawapendi collabo, they think they could build the next facebook kwa kujifungia na kucode everything alone. Sio siri wengi ni wabinafsi, wengine nao wanakaa kubishana which language is bettet than the other kila siku kazi haiendi, mtu anataka kutengeneza website backend nzima kwa C++ kwa kua kasikia its fast, mtashindana nini?

The moment we accept kua there are other Africans better than us labda we can work together.

Na kupata support Africa pia ni ndoto, unless unajishughulisha na udaku au mapenzi, kama unataka kutengeneza kitu mainstream utasumbuka sana, mfano mzuri tu nenda sites zinazohusu elimu au maswali kama Quora tafuta waafrika, utawahesabu sana. Startup inayoanzishwa sehemu kama Silicon valley, wana advantage ya pesa, developers kibao, jina, market kubwa hata wabibi wana smartphones au PCs, mtu akisikia sillicon valley hata kama ni stupid product atataka kujua inafanya nini. Rudi bongo, online payment mziki, unaweza pigizana kelele na banks hadi ukalia, since you are African you'll be lucky hata kupata chance ya kukaa mkaongea, online shopping, tumepigizana kelele wee waweke zipcodes ili tuweze kuuza vitu kirahisi location based, hadi leo story tu, mtu atakupa address kwa kukuelekeza "nenda hapa, kata hapa, nyooka" how can such a system scale? Ukisema ufanye mwenyewe yote haya pesa ndefu inahitajika, kumap an entire city kama dar si mchezo.
 
NullPointer at some point we have to implement those things. Problem yetu nyingine ni hata kupeana Support ni shida. Juzi nimepost the studio preview for free ili watu wa download wanipe maoni yao. So far not much.. Unafikiri mtu akiamua kufanya City mapping atapata ushirikiano? Ingawa itakuwa ni bure lakini sidhani kama atapata ushirikiano (verifying, filling few missing items et al)
 
Back
Top Bottom