Maslahi ya wananchi kwa elimu yako ndogo nini? Kwa akili yako katiba bora,uongozi bora,utawala wa sheria na mfumo mzuri wa kuwapata viongozi wazuri si maslahi ya wananchi?Najiuliza tu. Maandamano na kesi zote wanafungua zinahusiana na wao kushika madaraka. Mbona hawaandamani serikali ikifungia wakulima mipaka, mbona hawaendi mahakamani kupinga sheria za kodi etc. Mbona hawaendi mahakamani kupinga makato ya bodi ya mikopo.
Kama wako kwa maslahi ya wananchi si wanaweza anza na hapa. Leo nimemkumbuka Mtikila ndiyo maana nimeandika hili, alikuwa anashinda mahakamani japo alijua si rahisi kuishinda serikali. Kesi zake kama ile ya kudai mgombea binafsi ilifungua sana watu masikio na nafikiri alishinda.
Wanasiasa wangeonyesha kupigania maslahi ya wananchi wangekubalika sana.
Na kwanini wakulima Wenyewe wakifungiwa mipaka hawaandamani, maana yake hawaoni tatizo.Najiuliza tu. Maandamano na kesi zote wanafungua zinahusiana na wao kushika madaraka. Mbona hawaandamani serikali ikifungia wakulima mipaka, mbona hawaendi mahakamani kupinga sheria za kodi etc. Mbona hawaendi mahakamani kupinga makato ya bodi ya mikopo.
Kama wako kwa maslahi ya wananchi si wanaweza anza na hapa. Leo nimemkumbuka Mtikila ndiyo maana nimeandika hili, alikuwa anashinda mahakamani japo alijua si rahisi kuishinda serikali. Kesi zake kama ile ya kudai mgombea binafsi ilifungua sana watu masikio na nafikiri alishinda.
Wanasiasa wangeonyesha kupigania maslahi ya wananchi wangekubalika sana.
Mitaa iko mingi Tanzania subiri hapohapo watapita kukutangazia.Najiuliza tu. Maandamano na kesi zote wanafungua zinahusiana na wao kushika madaraka. Mbona hawaandamani serikali ikifungia wakulima mipaka, mbona hawaendi mahakamani kupinga sheria za kodi etc. Mbona hawaendi mahakamani kupinga makato ya bodi ya mikopo.
Kama wako kwa maslahi ya wananchi si wanaweza anza na hapa. Leo nimemkumbuka Mtikila ndiyo maana nimeandika hili, alikuwa anashinda mahakamani japo alijua si rahisi kuishinda serikali. Kesi zake kama ile ya kudai mgombea binafsi ilifungua sana watu masikio na nafikiri alishinda.
Wanasiasa wangeonyesha kupigania maslahi ya wananchi wangekubalika sana.
Mara nyingi wakitetea hayo mambo huwa ni pale yanapokwamisha njia yao ya kushika madaraka.Maslahi ya wananchi kwa elimu yako ndogo nini? Kwa akili yako katiba bora,uongozi bora,utawala wa sheria na mfumo mzuri wa kuwapata viongozi wazuri si maslahi ya wananchi?
Umeongea vizuri. Lakini hapo kwenye point ya pili huoni hilo linasababisha na wao waachwe peke yao yakiwakuta kama kuibiwa kura nk. Hao wakulima na wafanyabiashara unakuta hawajui hata waanzie wapi kudai haki zao, wanasiasa wanajua pa kuanzia. Wanasiasa wakianza kuwapigania wananchi, wananchi hawatawaacha yakiwakuta.Na kwanini wakulima Wenyewe wakifungiwa mipaka hawaandamani, maana yake hawaoni tatizo.
Sasa unataka wanasiasa wapiganie kitu ambacho wahisika wenyewe hawaoni tatizo ??
Kuhusu tatizo la sheria za kodi, source huanzia bungeni.
Huko Wanasiasa hasa wa upinzani huwa wanasimama imara na kupinga sheria kandamizi za kodi, lakini huwa zinapitishwa kibabe.
Hata vyama vya wakulima huwa vipo tu havioni tatizo.
Wanaotakiwa kuziheshimu yaani wafanyabiashara wala huwezi kuwaona hata wanapinga, maana yake wameridhika.
Hata viongozi wa sekta binafsi huwa wapo tu na hawaoni tatizo.
Kwahiyo, hapa kuna mawili.
1. Ukiona mwenzio amepatwa na janga simama naye, ukimwacha peke yake atakosa nguvu atadhibitiwa. Na siku wakija kwako pia na wengine wanakaa kimya unakomeshwa.
2. Huwezi kukaa tu kama maiti, hujihusishi na chochote lakini unataka vitu vizuri. Utasikia Lissu pambania katiba mpya, ajira,
Soko la wakulima et al utafikiri hayo mambo ni kwaajili yake tu na watoto wake.
Halafu kitu usichokijua ni kwamba wanasiasa lengo lao ni moja.Mara nyingi wakitetea hayo mambo huwa ni pale yanapokwamisha njia yao ya kushika madaraka.
Ndiyo maana yakeUkimaanisha hawa watawala na wapinzani kwa ujumla wao.