mbona nimeweka picha yangu

mbona nimeweka picha yangu

huwezi kumwelewa mkuu we endelea na maisha yako tu, nipo hapa Mchambawima karibu na Swahili house nitafute basi kama we upo hapa Zenji

powa aina mbaya me nipo Mwandege
 
Mbona mimi namfahamu mwenye hii picha jina lake sio dazipozi? Kama unapinga, niruhusu nitaje jina la mwneye hii picha.
 
Mimi huwasiangalii picha za watu ila ujumbe unaopost hapa. Wewe unataka kuifanya hii Albamu yako nini? Acha tabia za watoto ambao hawajui kusoma na kuandika ambao hupewa vitabu kuangalia picha. Wewe ingia kutoa au kupoke ujumbe.
 
Angalia hii yangu ndio halisi nilivyo moyoni acha yako umeweka lakin hatujui moyoni upoje...!!Teheee.😛oa
 
hongera sana kaka. but wewe sio wakwanza. na kuna watu wanaweka faceing the camera kabisa, sio mkono tu. tena wanaitwa kwa jina zao za vyeti kabisa.
 
Ni ushauri mzuri wengine tunaufikiria...!
 
umelipa ada ya uanachama wewe au porojo tuuu!!!
 
Safi sana mzanzibari karibu kwetu, na sasa karibia tutakuwa na Tanganyika yetu huru
 
Inaelekea ulikuwa na ugomvi na mpiga picha au unamzuia ili watu tusikuone vizuri?
 
Mi pia nimeweka yangu. Kama huioni ujue computer yako ina virusi au upo kwenye ignore list yangu.
 
Back
Top Bottom