mbona nimeweka picha yangu

dazipozi

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
1,137
106
Dah..nimegunduwa ki2 kimoja humu ndani watu awako real wapo fake sana!!mimi nimeamuwa kuweka info zangu full kbsa,sitaki kuwa fake coz JF nimevutiwa nayo napia naipenda mimi ni new member sina hata mwezi ila nimependa maisha ya humu ndn maana nikahamuwa kuweka hata picha yangu mnione au sio..naomba muige MFANO wangu nawapenda sana marafiki zangu 1lov wana
 
mmmhhh haya bwana, tutajuaje kuwa ni wewe? hata hivyo kila mtu ana uhuru wa kuweka profile anaitaka sio unayoitaka wewe.
 
kwani nani kakuambia picha si za kweli fuatilia vizuri utajua!
 
Hii topic tulishaijadili kwa upana sana hapa JF, Najua ni ugeni unakusumbua tu!

Il Gambino.
 
Dah..nimegunduwa ki2 kimoja humu ndani watu awako real wapo fake sana!!mimi nimeamuwa kuweka info zangu full kbsa,sitaki kuwa fake coz JF nimevutiwa nayo napia naipenda mimi ni new member sina hata mwezi ila nimependa maisha ya humu ndn maana nikahamuwa kuweka hata picha yangu mnione au sio..naomba muige MFANO wangu nawapenda sana marafiki zangu 1lov wana

Umekosea jukwaa kijana
 
mmmhhh haya bwana, tutajuaje kuwa ni wewe? hata hivyo kila mtu ana uhuru wa kuweka profile anaitaka sio unayoitaka wewe.

kwani hyo pic niliyoweka yako,cwezi kuweka pic ya mwingine babu
 
Back
Top Bottom