Vodacom kazi ni kwako!!!!Yaani naweza kuweka mb 180 za 500 lakini nashangaa maana nazitumia kwenye simu tuu na hazikai hata masaa 4 ya matumizi. Tatizo litakuwa nini wakuu? Nlikuwa natumia net ya airtel ila hapa nilipo airtel haikamati kabisa internet. Sasa sijui nifanyeje? Naomba kama kuna mwenye huu mtandao wa halotel anifahamishe kidogo gharama zao zipoje maana nahisi hawa voda wananiibia kabisa.
Naomba kuwasilisha
We si mkweli. Mb 180 udownload vitu na bado bando libaki mpaka muda wake wa kuisha!! No???Angalia pia simu yako kama umeingiza program nyingi na zinajiupdate mie natumia kifurushi hicho hicho na nina download video lakini mb ubaki hadi muda wa matumizi unapoisha