Mr JM
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 265
- 476
Habari wana Jf
Nimekuwa Mtumiaji wa vodacom kwa mda mrefu ila sasa nimevumilia nimeshindwa kero ni nyingi mno kubwa ya yote ni ulaji wa bando MB's mfano Jana jioni nimenunua GB 2 asubuhi naperuzi Instagram sms inaingia bando lako ni chini ya MB 0 kha nilichoka na sikuwa na matumizi makubwa kivile nilitumia IG,watsap jf na video moja wa dakika 4 YouTube na hii imeanza siku za karibuni mb's zinakimbia hatari yaani nikiweka 1gb au mb500 ni kama chanjo pia kero za kuchukua salio kwa kuniunga automatically na huduma zao za kijinga ambapo imepelekea kuacha kutumia salio la kawaida na kutumia mpesa zipo kero nyingi mno kwa huu mtandao pendwa lakini sijui wanadhani mimi bwenyenye shenzi kabisa sasa nabwaga manyanga Imetosha.
Nilikuwa mtumiaji wa line moja kwa mda nilikuwa natumia airtel na tigo pia walinifurahisha that time ila nikaachana nao mtandao ulikuwa hauko fasta kivile japo airtel walikuwa na offer za maana nazikumbuka kweli GB 2 kwa buku japo slow but sure unazitumia paka unaridhika ila hawa vodacom sio kabisa wamekuwa kero unajiunga bando ila huna raha kulitumia maana kidogo tu unashtuka SMS ya vodataarifa hawa jamaa wamekuwa sikio LA kufa japo nimelalamika sana customer care Ila wapi.
Kwenu watumiaji wa Airtel,tigo,halotel na ttcl naombeni ushauri mtandao UPI ni mzuri kigezo kikuu kiwe bando LA Internet kwa bei nafuu na spidi tofauti na hawa takataka vodacom, karibu utiririke.