Mbona MB za Vodacom zinaisha haraka sana

Davion Delmonte Jr.

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
2,149
Reaction score
1,721
Yaani naweza kuweka mb 180 za 500 lakini nashangaa maana nazitumia kwenye simu tuu na hazikai hata masaa 4 ya matumizi. Tatizo litakuwa nini wakuu? Nlikuwa natumia net ya airtel ila hapa nilipo airtel haikamati kabisa internet. Sasa sijui nifanyeje? Naomba kama kuna mwenye huu mtandao wa halotel anifahamishe kidogo gharama zao zipoje maana nahisi hawa voda wananiibia kabisa.

Naomba kuwasilisha
 
Nilishasema hapa kuwa voda ni wezi wa mchana hamkunielewa!
 
Voda, airtel,tigo wote hakuna kitu kwenye data.Jaribu hallotel mkuu
 
Yaani naweza kuweka mb 180 za 500 lakini nashangaa maana nazitumia kwenye simu tuu na hazikai hata masaa 4 ya matumizi. Tatizo litakuwa nini wakuu? Nlikuwa natumia net ya airtel ila hapa nilipo airtel haikamati kabisa internet. Sasa sijui nifanyeje? Naomba kama kuna mwenye huu mtandao wa halotel anifahamishe kidogo gharama zao zipoje maana nahisi hawa voda wananiibia kabisa.

Naomba kuwasilisha
Nunua Mb za TTCL
 
Nilishasema hapa kuwa voda ni wezi wa mchana hamkunielewa!

Tatizo la mitandao yetu ni tamaa ya kupata faida kubwa kwa kubana huduma zao na ushindani usiokuwa na tija kwa wateja wao ila customer wanapoamua kuhamia mtandao mwingine hujifanya kuboresha huduma tena.
 
me niko hallotel..nishasahau upuuzi wa hao kina voda and et al
 
Angalia pia simu yako kama umeingiza program nyingi na zinajiupdate mie natumia kifurushi hicho hicho na nina download video lakini mb ubaki hadi muda wa matumizi unapoisha
 
wametoa unlimited,imebaki limited,ilikuwa unatumia masaa 24hata kama mb zimekwisha ila walikuwa wanapunguza speed tu sasa hivi ni majanga ,kesho naenda kununua halotel simcard
 
Yaani naweza kuweka mb 180 za 500 lakini nashangaa maana nazitumia kwenye simu tuu na hazikai hata masaa 4 ya matumizi. Tatizo litakuwa nini wakuu? Nlikuwa natumia net ya airtel ila hapa nilipo airtel haikamati kabisa internet. Sasa sijui nifanyeje? Naomba kama kuna mwenye huu mtandao wa halotel anifahamishe kidogo gharama zao zipoje maana nahisi hawa voda wananiibia kabisa.

Naomba kuwasilisha

Wewe Ulitaka Zisiishe? Hizo Mb 180 ni Chache Sana Kwa Mtu Kama Wewe Ambaye Ni Admin Wa Magroup 8 Huko WhatsApp (Natania Tu)
 
Voda wana hali mbaya sahvi...wamebanwa walipa kodi ndomana kuna vifurushi vingine wameviondoa "eg" uhuru intenet haipo

Ovaaa
 
wametoa unlimited,imebaki limited,ilikuwa unatumia masaa 24hata kama mb zimekwisha ila walikuwa wanapunguza speed tu sasa hivi ni majanga ,kesho naenda kununua halotel simcard

Hatuna jinsi, inabidi kutafuta njia mbadala huwezi ukatoa UNLIMITED bundle nilitegemea kuwa huduma ingepungua kwasababu ya mkonga wa taifa,... Mwenye huduma mbadala atujuze...
 
Ofisi za hallotel zinapatikana wapi hapa Dar!
 
kudadeki....nilidhani mimi tu toka juzi wameshaanza mchezo huu...anyway where is hallotel?
 
Duuh bado kuna watu bado wapo coda,tigo au airtel kwenye huduma za internet? Hiyo mitandao yote ni majanga kwa sasa mtandao bomba ni hallotel
 
Back
Top Bottom