Mbona majambazi yamepotea?

Mbona majambazi yamepotea?

Zamani nikiwa nakua nilikua siishi kusikia matukio ya ujambazi na uporaji..na watu kuuawa na mali zao kuibiwa..lakini miaka zaidi ya 10 au zaidi sasa sijasikia tukio la watu kufanya uporaji wa kutumia silaha au unyanganyi wa kwenye majumba ya watu?

Maana zamani ingawa social media zilikua chache ilz habari zilitapakaa kwa redio.magazeti na simu.

Ni miaka mingi sijasikia matukio.ya hivyo.?
Je ni experience niliyonayo mimi tu kutokana na mazingira niliyopo au mkoa ninaoishi?? na watu wengine huko kwenu vipi bado matujkio yapo?

Nb majambazi wengine nawajua kabisq ila matukio ndo hayatokei?? Hii imekaaje?? Au wameokoka??
HIvi na wale wanaojisalimishaga na silaha hua inakuaje hadi kusalimisha kitega uchumi cha kuchukua mshiko nje nje AKA mshiko fasta??
Siku hizi taarifa za majambazi tunazipata kwa njia za kidigitali kwa kupitia Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali/CAG.Zile enzi za kuvizia magari,kukaba,kutumia silaha za moto,kuvunja/kuimba na uanahakharamu wa aina hizo unayeya na wakati.Hatuwaui majambazi hao bali tunawazomea tu yanaisha.
 
Siku hizi wamehamia kwenye uhalifu wa kwenye mtandao, tuma kwenye number hii...


Cc: Mahondaw
 
Ujambazi umehamia kwenye TUMA ILE PESA KWENYE NAMBA HII
 
Back
Top Bottom