feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 8,933
- 18,377
Kwa Nchi yetu vitu vifuatavyo vimechangia.
1.Technolojia kwasasa imekua sana mambo ya kuiba kwa bunduki yamepitwa na wakati na utapoteza maisha bure na kwa bahati mbaya majambazi wengi wa nchini kwetu hawana akili.
2.Jiwe - huyu jamaa utawala wake hakua anacheka na majambazi yaani ukikutwa unatangulizwa ahera mapema,kipindi chake majambazi walipigwa sana shaba.
3.Hali ya uchumi ni ngumu vibaya sana kiasi cha kwamba hata pesa mtaani ngumu kiasi ukijifanya unatamaa raia wanakuwasha kiberiti mapema.
NB:Ujambazi wa sasa umehamia kwenye kutekana na kupeana kesi za kisiasa ili wahuni wavune hela pamoja na ufisadi.