- Thread starter
- #41
Bora hao mara 100 kuliko wakuduzue mipanga ndio uwape helaTUMA KWENYE NAMBA HII
NA WAGANGA WAKIENYEJI babu mganga..
jiunge fremason
Bora hao mara 100 kuliko wakuduzue mipanga ndio uwape helaTUMA KWENYE NAMBA HII
NA WAGANGA WAKIENYEJI babu mganga..
jiunge fremason
Hiiii sasa balaaa..Unashangaa mwizi na mwenye nyumba mnasaidiana kupekua cha kuiba na hakipo!
Hili eneo wamefanikiwa 100% hakuna anayewaza kufanya ujambazi hata huko uswekeni.Hii ni kweli..wazee wa kupewa lawama bila sifa..kwa hili wamejitahidi
Na wewe kwa fix wewe kama Dokta Sulle.Vijana wameshtuka, kama unaitaka mali utaipata shambani sasa hivi wengi wapo maporini huko wanavuna mijipesa tu
Ni kweli Magufuli alidhibiti sana kiwango cha uhalifu kinachotokana na ujambazi maana waliuwawa sana.Subiri yaje kumsfia mwendazake
Acha kutushikia akili na kuchafua mapolisi wewe kuku pori.Ujambazi na majambazi huwa ni ushirika wa wahalifu na polisi hao hao!
No, watu wamekua mchele mchele sikuhzVijana wameshtuka, kama unaitaka mali utaipata shambani sasa hivi wengi wapo maporini huko wanavuna mijipesa tu
Tupo teckolojia imeongezeka tunatapeli kwa njia ya mtandao.Zamani nikiwa nakua nilikua siishi kusikia matukio ya ujambazi na uporaji..na watu kuuawa na mali zao kuibiwa..lakini miaka zaidi ya 10 au zaidi sasa sijasikia tukio la watu kufanya uporaji wa kutumia silaha au unyanganyi wa kwenye majumba ya watu?
Maana zamani ingawa social media zilikua chache ilz habari zilitapakaa kwa redio.magazeti na simu.
Ni miaka mingi sijasikia matukio.ya hivyo.?
Je ni experience niliyonayo mimi tu kutokana na mazingira niliyopo au mkoa ninaoishi?? na watu wengine huko kwenu vipi bado matujkio yapo?
Nb majambazi wengine nawajua kabisq ila matukio ndo hayatokei?? Hii imekaaje?? Au wameokoka??
HIvi na wale wanaojisalimishaga na silaha hua inakuaje hadi kusalimisha kitega uchumi cha kuchukua mshiko nje nje AKA mshiko fasta??
Kabisa haupewi airtime kama zamani, ila matukio yapo.Ujambazi bado upo sema nowadays watu wanapenda ujinga kuliko sensitive issues
Wamepotea wapi ? Mbona wapo wanatumikia IKULU.Zamani nikiwa nakua nilikua siishi kusikia matukio ya ujambazi na uporaji..na watu kuuawa na mali zao kuibiwa..lakini miaka zaidi ya 10 au zaidi sasa sijasikia tukio la watu kufanya uporaji wa kutumia silaha au unyanganyi wa kwenye majumba ya watu?
Maana zamani ingawa social media zilikua chache ilz habari zilitapakaa kwa redio.magazeti na simu.
Ni miaka mingi sijasikia matukio.ya hivyo.?
Je ni experience niliyonayo mimi tu kutokana na mazingira niliyopo au mkoa ninaoishi?? na watu wengine huko kwenu vipi bado matujkio yapo?
Nb majambazi wengine nawajua kabisq ila matukio ndo hayatokei?? Hii imekaaje?? Au wameokoka??
HIvi na wale wanaojisalimishaga na silaha hua inakuaje hadi kusalimisha kitega uchumi cha kuchukua mshiko nje nje AKA mshiko fasta??
Acha uongo wewe mbuzi wa shamba.Kipindi hicho hata kutembea na milioni 1 unaogopa unaweza kufumuliwa UBONGO wahuni wakaondoka na MZIGO ,alipoingia JIWE akaona kuna baadhi ya askari walikuwa wanashirikiana na majambawazi ,ikabidi awaambie wakomeshe ujambazi ,kwa majambazi waliogoma kuacha kwa kudhani bizness as usual walikula VYUMA na wengine wamekimbia nchi.
Kwasasa ujambazi wa kutumia silaha haupo coz 100% ilikuwa mipango ya maaskari na ndiyo maana walikuwa hawkamatwi ila kwasasa ukifanya ujambazi hautembei hata mita 100 lazima udakwe.
Acha kutushikia akili na kuchafua mapolisi wewe kuku pori.
Na utapeli je?Unaelewa maana ya ujambazi?hata unapokamuliwa kodi lukuki ni ujambazi.
Nyinyi wa mliokulia MPWITIMBI hamuwezi elewa mambo ya TOWN.Acha uongo wewe mbuzi wa shamba.
💯 na utapeli mwingi unahusisha wafanyakazi wa serikalini — mambo ya kukuta kiwanja kimoja kina hati mbili au tatu na zote zimetolewa na wizara ya ardhi au mabenki yanauza mali za watu kupitia kuhonga mahakama — kuna mabenki hayataki kabisa ulipe deni lako kwasababu wameshapata mnunuzi wa mali yako.Kuna utapeli ambao ni mara 3 ya ujambazi !