Mbona Hassy Kitine hakualikwa/hakuhudhuria?

Wakuu wa Usalama wa Taifa wanapumzika kuja kazini huwa hawastaafu, nilimshangaa sana Mzee wetu Mzee Ngoyai kuamini Mzee Apsn Mwang'onda kaastafu mpaka akamuamini akawa ndio Cordinator wa Kampen zake za Urais hata baada ya kuhamia Chadema.

Yaliyotokea Wiki ya Mwisho ya October kabla ya kupiga kura ndani ya Kambi ya Ukawa yatakuwa yamempa Somo kubwa sana Mstahiki Mzee Ngoyai japo we can't undue the Past
Tujuze japo kidogo, ni kipi hicho kilitokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku nyingine utaelezwa Nani alimleta TB Joshua na kwanini aliletwa na Nani aligharimia Safar yake na kwa kazi gani na jee malengo ya kuja kwake baada ya Uchaguzi yalifanikiwa au laa?

Unajua kwanini Uwanja wa ugenini ukifunga goli huwa yanahesabika mawili japo nyote mlikuwa idadi sawa uwanjani Mwanzoni Mwa Mchezo ?
Ungemaliza tu kabisa Leo Mkuu, siku nyingine tutakuja miss wengine bure.

Na hill la goli la ugenini kwa hapa nimeshindwa kurelate, ni nani alicheza nyumbani na nani alikuwa ugenini mpaka apewe bao la ziada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kama unamsema Malisa Godlisten, lakini kama ni Onel Malisa kamishna mkuu mstaafu wa Magereza alishafariki msiba ulifanyika nyumbani kwake Kinyerezi kwa Malisa na nilihudhuria, hii ni family friend na familia yangu, mtoto wa Onel Malisa nimesoma naye same class Oystebay Primary school, baadaye akaagwa kwa heshima za jeshi kwenye gereza la Ukonga na baadaye kusafirishwa na kuzikwa nyumbani kwao Old Moshi.

Natowa onyo msipende kuinajisi JF watu wengi wanaitegemea kwa information kama hujui kitu shut up tuliza wowowo lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Matola kwenye ubora wako .....heshima yako mkuu.!
 
Msimsahau pia mtu mmoja aliyejulikana kwa jina moja tena kwa herufi moja M
Huyu jamaa watu wa miaka ya 64 watamkumbuka vizuri saaana, mtu pekee ambaye hakujulikana wala kuonekana katika muonekano wa kawaida na mtu pekee alie wachagua akina Hassy kipindi hicho. Na aliaminika mnooo na mzee nyerere, mambo yake yalikuwa zaidi ya tunavomjua wengine

Hata hivyo ndie aliekuwa ansaidia kutoa taarifa kutoka kila mahari na kuzifikisha mahali husika kisha vijana kama akina hassy wanazifanyia kazi.

Wengi walimuita masikio ya tembo kwa uwezo wake wa kupata udaku na habari nyeti.
Kila wenzie wakileta habari kwake yeye ilikuwa kama mechi ya marudio iliyochezwa jana.

Cha kushangaza baadae alikuja kutofautiana na wenzake mwaka 86 akidai anataka kupumzika
 
JKT Kanembwa operation Kimbunga kulikuwa na dogo form six katk risasi kumi alikosa target moja tuu. Ktk mita 100. Alipewa offer ya kuendelea na jeshi alikataa kisa anataka kuingia chuo. Hao masniper wapo na wanazidi kuzaliwa hata hivyo kutofautiana kwa ujuzi kupo.
Huyu dogo atakuja kujutia hili kosa maisha yake yote..! Hasa na ajira zenyewe zilivyokaa tenge..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Long story Ndugu yangu lakin kwa ufupi baada ya jaribio la Mapinduzi kushindwa 1983 Baadhi ya Watuhumiwa walitoroshwa Gerezani Ukonga na kupelekwa Kenya Kupitia Mpaka wa Horohoro na lilitumika Gari la Kubebea Mkaa kuwabeba kina Kapten Maganga

Mwl Baada ya kugundua Mpango huo ndipo akatengeneza Revenge

Baada ya Arap Moi kutikiswa ikabidi wafanye Mazungumzo na Mwl Nyerere na wakakubaliana wabadilishane Wale Wahaini ndipo kina Maganga wakadanganywa na Utawala wa Kenya kuwa wanawapeleka kuwaficha Ethiopia kwa kuwa kuna Vijana wa Nyerere Wapo mitaa ya Nairobi wanaweza kuwadaka Kumbe ni Mpango wa kwenda kuwakabidhi Dodoma si Dsm
Nyerere nae aka swap kwa kukabidhi Wahaini feki kwa Moi wakat huo tayari kina Odinga ( Wahaini halisi ) wameenda kufichwa Canada Kama wakimbiziwa Kisiasa kishawasafirisha, Moi baada ya kugundua alipoteza kabisa Interest na Tanzania na Mwl kabisa kwa kuingizwa Chaka

Tanzania haitokuja kupata Rais Mwenye akili Nyingi sana Kama Julius Kambarage Nyerere never never!
Hapa nimetamani kulia, sijui kwanini!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alifukuzwa na Mwalimu Nyerere kwenye Ukurugenzi wa Usalama wa Taifa kwa kosa la Kununua Mercedez Benz bila ya kumjulisha Mwalimu

Akaja Tena kupoteza Uwaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala bora wa Mzee Benjamin Mkapa kwa kosa la kughushi Malipo ya Matibabu ya Mkewe Nchini Marekani

Alipoongea na Media nyumban kwake Upanga alikanusha tuhuma za kughushi akamtaja PM wa wakati huo ambae kwa sasa ni Mwenyekt wa Chama Fulani kanda ya Pwani kuwa ndie anamchafua kwa kuwa wote wanautaka Urais japo mwishowe wote wakaukosa

Hayo yote hayajatoa sifa ya kuwa mstaafu wa Ukurugenzi wa Usalama wa Taifa!!!
 
Umemsahau JOKA LA MDIMU aliuyetibu hii issue kule bungeni na ikamfanya JOKA LA MDIMU ajulikane nchi nzima ingawa hakuwa anajulikana kokote.

Kumbe JOKA LA MDIMU naye alikuwa anawania urais na inasemekana zile hela zilizokamatwa kule Dodoma zilikuwa ni rushwa toka kwa JOKA LA MDIMU na jamaa zake ambako mmoja sasa hivi yuko mahabusu ameota ndevu na kuna vyuma kwenye mwili wake.
Joka la mdimu ndio nani tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi tu hawakuhudhuria kwa sababu kadhaa!

Hata Augustine Mahiga ( Waziri wetu wa Mambo ya Nje) kuwa Mkuu wa Usalama wa Taifa lakin hakuhudhuria Mkutano huo!

Kwenye ile Kesi ya Uhaini ya 1983 Shahidi Muhimu aliekuwa anatambulika Kama Mr X alikuwa ni Balozi Augustine na ndie alietibua Mpango ule wa kumpiga Bomba Mwalimu Nyerere Kanisani St Peters Ostybay
Na yule shahidi muhimu mwingine aliyejulikana kama MR Y mbona humtaji?
 
Back
Top Bottom