peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,833
- 21,466
Sisi tuko Kimya, tunajua kutokana na hali ilivyofikia nyinyi ndio mutakaouvunja MuunganoKwa muda mrefu tangu muungano wa Tanganyika na Zanzibar hawa ndugu zetu kutoka Zanzibar wamekuwa hawaridhishwi na huu muungano, inasemakena hadi Rais wa kwanza wa Zanzibar alishawahi sema muungano ni kama koti likikubana unalivua.
Pia nakumbuka awamu ya 4, Rais akiwa Kikwete kuliibuka wimbi kubwa sana la wanaharakati kutoka Zanzibar wakiongozwa na jumuia ya UAMUSHO wakidai Zanzibar inatakiwa kuwa huru eti kisa viongozi wao wanachaguliwa kutoka Tanganyika.
Lakini jambo la ajabu awamu hii ya sita ni kama hakuna tena hizi harakati za kuvunja muungano wetu mtukufu sasa najiuliza je, shida ilikuwa nini kwa hizi harakati na imekuaje awamu hii zisisikike tena? Au ulikuwa ni unafiki tu wa wanasiasa na sasa hivi wameona huu muungano unawanufaisha na wao!
Kwa mtazamo wangu muungano huu Zanzibar ndiyo wana manufaa kuliko Watanganyika hivyo wanapaswa kuupigania ili uendelee na wao wazidi kunufaika.
Mzanzibar ana haki ya kumiliki ardhi Tanganyika wakati Mtanganyika hana hiyo haki Zanzibar. Je, nani hapo ananufaika? Nawaomba tena Wanzanzibar waache unafiki huu muungano wao ndiyo wanufaika.
MUUNGANO UDUMU MILELE.
Kwa muda mrefu tangu muungano wa Tanganyika na Zanzibar hawa ndugu zetu kutoka Zanzibar wamekuwa hawaridhishwi na huu muungano, inasemakena hadi Rais wa kwanza wa Zanzibar alishawahi sema muungano ni kama koti likikubana unalivua.
Pia nakumbuka awamu ya 4, Rais akiwa Kikwete kuliibuka wimbi kubwa sana la wanaharakati kutoka Zanzibar wakiongozwa na jumuia ya UAMUSHO wakidai Zanzibar inatakiwa kuwa huru eti kisa viongozi wao wanachaguliwa kutoka Tanganyika.
Lakini jambo la ajabu awamu hii ya sita ni kama hakuna tena hizi harakati za kuvunja muungano wetu mtukufu sasa najiuliza je, shida ilikuwa nini kwa hizi harakati na imekuaje awamu hii zisisikike tena? Au ulikuwa ni unafiki tu wa wanasiasa na sasa hivi wameona huu muungano unawanufaisha na wao!
Kwa mtazamo wangu muungano huu Zanzibar ndiyo wana manufaa kuliko Watanganyika hivyo wanapaswa kuupigania ili uendelee na wao wazidi kunufaika.
Mzanzibar ana haki ya kumiliki ardhi Tanganyika wakati Mtanganyika hana hiyo haki Zanzibar. Je, nani hapo ananufaika? Nawaomba tena Wanzanzibar waache unafiki huu muungano wao ndiyo wanufaika.
MUUNGANO UDUMU MILELE.
Chato wanaexport kila kituMuungano ukivunjika tutauziwa na nani juisi ya ?¡
Mlipaji mbona anajulikana vizuri tu, ni aliyekopa!Na sasa mikopo inasainiwa na Wizara ya Fedha ya Tanganyika, tunagawana lakini wakati wa kulipa, miaka 20 ijayo, hatujui mlipaji atakuwa nani.
Hebu anza na ni nani anae set mitihani na nani ana mark mitihani, wapi inakofanyiwa marking na mwisho ni nini agenda ya badi ya mitihani kwa wazanzibari? Mwisho mbona wale waliopelekwa Canada kusoma baada ya kutofanya uzuri katika mitihani iliyotungwa na bodi ya mitihani ya wadangayika, lakini walifanya vizuri katika mock exams zilizotungwa zanzibar, wanaendelea vizuri sana katika elimu yao ya juu na hakuna alie feli mwaka wao wa kwanza?Kwanini huwa mnafeli sana mitihani? Hili swali nauliza huu mwaka wa 10 sijapata jibu
Tatizo la wadanganyika ni kuwa humwishi kutafuta sababu za kulalamika. Mnalalamika raisi akiwa muislamu, mnalalamika akitokea zanzibar na hata akiwa mkristu na anatokea bara mnalalmika alikotokea, Yaani hata sijui mnataka raisi awe kutoka wapi na anafata dini gani ndio mridhike? Kwa nini hamridhiki kuwa raisi ni mtanzania full stop? Kwa nini daima ni udini na ukabila tu!Sasa hv wanatawala kote kote wapige kelele za nini?
Chao ni chao....na chetu pia ni chao
mzee watanzania tunaongea kiswahili hayo masum bukuma fahyum ndo manini?Tatizo kubwa la wadanganyika ni UJUHA UJUHA UJUHA! Mmezoea kudanganywa na msakuwa summu bukmun fahum la yarjiuun. Mlianza kudanganywa toka enzi za maji maji na hadi leo hii hamjui kutumia akili kufikiri outside the box. Mume baki kushangiria lolote lile asemalo kiongozi wenu japo kuwa ni uongo au sio sahahi na deep down mnajua kuwa ni uongo au sio sahihi. As long as mkiambiwa ccm oyeee! tanzania oyeee! basi mnakwenda tu mazumbumbu!
nipo bar na allah tunashusha vituUko varu varu kwa tekenya za Roho mtakatifu wako
Nani anagharamia scholarships za hao waliofeli mitihani, ni Shamba la Bibi kama kawaida?Hebu anza na ni nani anae set mitihani na nani ana mark mitihani, wapi inakofanyiwa marking na mwisho ni nini agenda ya badi ya mitihani kwa wazanzibari? Mwisho mbona wale waliopelekwa Canada kusoma baada ya kutofanya uzuri katika mitihani iliyotungwa na bodi ya mitihani ya wadangayika, lakini walifanya vizuri katika mock exams zilizotungwa zanzibar, wanaendelea vizuri sana katika elimu yao ya juu na hakuna alie feli mwaka wao wa kwanza?
Roho mtakatifu wako kakushika leo ni kukutekenya kwenda mbelemzee watanzania tunaongea kiswahili hayo masum bukuma fahyum ndo manini?
U maji kwa kutekenywa Na Roho mtakatifu wakonipo bar na allah tunashusha vitu
NGO imeanzishwa na wazanzibari na haipatiwi senti moja na serikali ya zanzibar au tanganyika, Ni NGO ya wazanzibari waishio nje ya nchi kwa manufaa ya wanzibari walio ndani ya nchi. EAT YOUR HAT!!! Ha!Nani anagharamia scholarships za hao waliofeli mitihani, ni Shamba la Bibi kama kawaida?
Si unajifanya unajua lugha za watu? Kama unataka tafsiri kwanza badili jina lako hapo juu!mzee watanzania tunaongea kiswahili hayo masum bukuma fahyum ndo manini?
Wacha urongo!NGO imeanzishwa na wazanzibari na haipatiwi senti moja na serikali ya zanzibar au tanganyika, Ni NGO ya wazanzibari waishio nje ya nchi kwa manufaa ya wanzibari walio ndani ya nchi. EAT YOUR HAT!!! Ha!
Jifunze kiswahili kwanza, nini maana ya neno urongo!Wacha urongo!
wewe allah atakuwa amekubaka jana usikuRoho mtakatifu wako kakushika leo ni kukutekenya kwenda mbele
kwann?Si unajifanya unajua lugha za watu? Kama unataka tafsiri kwanza badili jina lako hapo juu!
UongoJifunze kiswahili kwanza, nini maana ya neno urongo!