Mbona hamjibu pm zangu

Mbona hamjibu pm zangu

ehh we yona vipi..?! btw nani kagoma kukujibu..?!

p.s mjibuni yona jamani mnamkwaza
 
kweli hili ni jukwaa la chit chat mitanzania bwana job true true :lol:
 
Kwani lazma wakujibu Pm!. Achana nao.
 
hebu nitumie uone kama sijakujibu....................
 
Inawezekana unatuma pie za kutongoza ukidhani ni mdada kumbe mkaka sasa atakujibu nini?au ni mke wa m2 tena mbibi sa akujibu nini?embu sema zinahusu nn hizo pm?anyway message sent and delivered,
 
wataje hao ambao hawataki kujibu PM zako
 
unajua kwa sie wa mobile ile tufe iliyoandikwa 'New PM' kwa wino mweupe uliokoza huwa inapendeza sana. Hasa kama hujapata hiyo kitu muda mrefu...

Kumbe unajua utamu wake eeh!!

Ukiiona tu basi roho inakuwa tamu kweli aisee!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom