Mbona hamjibu pm zangu

Mbona hamjibu pm zangu

Kumbe unajua utamu wake eeh!!

Ukiiona tu basi roho inakuwa tamu kweli aisee!

ila inakera pale unapodhani umetumiwa na husninyo, kongosho, FL, SL au feis buk, nazjaz e.t.c, ile unafungua unakuta ni li-Paw likikuonya kuwa umetukana kwenye thread.. .
Inakera?
 
hahaha sasa mkuu ulitaka aku ban bila kukuonya ..?

ni vizuri pia, ila si unajua unapokuwa unaexcpect PM toka kwa fulani, afu unakuta ni Paw, stimu huwa zinakata kabisa!
 
ila inakera pale unapodhani umetumiwa na husninyo, kongosho, FL, SL au feis buk, nazjaz e.t.c, ile unafungua unakuta ni li-Paw likikuonya kuwa umetukana kwenye thread.. .
Inakera?

hahahahaha! aiseeee! dah hapo stimu kwishney kabisa!!
 
ila inakera pale unapodhani umetumiwa na husninyo, kongosho, FL, SL au feis buk, nazjaz e.t.c, ile unafungua unakuta ni li-Paw likikuonya kuwa umetukana kwenye thread.. .
Inakera?

hahahahaha! Wenzio wakipata pms za mods wanafurahi we unanuna. Lol.
 
inategemea na heading yenyewe!
Sasa kama mod anakuambia umetukana kwenye uzi flani si ban inakaribia hapo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom