Mboma aamua kuifanya TANESCO uwanja wa vita...

Hon.MP

Senior Member
Jul 15, 2012
153
86
Retired General Robert Mboma, kaondoka hapa ubungo asubuhi hii kwa misonyo na hasira sana. Neno alilolitamka ni " NDANI YA SIKU TANO, TUTAONA NANI BINGWA ".

Habari za kuamininika toka hapa TANESCO zinaeleza kuwa maneno hayo ni kusudio la kuhujumu shirika la TANESCO kwamba kuanzia alhamis wiki hii nchi itaingia gizani kwa namna yoyote ile.

Inasemekana kuwa huu ni mkakati wa kikao cha pamoja baada ya sakata la TANESCO Bungeni siku ya Jumamosi kiloichowakutanisha;

Retired Maj. Gen. Mboma mwenyewe, ndg. Mhando, Mh. Mkono, Mh. Ole Sendeke na wawakilishi wa makampuni yaliyonyimwa ulaji kuuza mafuta na vipuli vyao hapa TANESCO.

Jamani sasa tunapaza sauti Usalama wa Taifa, Polisi, vyama vya siasa na asasi za kiraia na Wataalam wote wa TANESCO wenye maadili na Wananchi wote, kuwafuatilia kwa karibu hawa watu wanaopanga hujuma. Katibu Mkuu Maswi, je hizi taarifa unazo? Boniface Njombe na Nazil Kachwamba waitwe watakuwa na la kueleza.
 
Sasa hivi wenyeviti wameagizwa kukutana kujadili uwezekano wa kuvunja Kamati zote za wenye tuhuma za rushwa juu ya sakata la Tanesco. Aidha ni kweli kuwa kuna taarifa kuwa Mafisadi kwa kushirikiana na Gen. Mboma na Mhando wanataka kwa hali yoyote ndani ya siku tano nchi iwe gizani.

Wahusika wengine katika njama hizi ni Mh. Mkono, Ole Sendeka na Zitto Kabwe. Vyombo vya usalama sasa inabidi viingilie kati maana hatujui kama wanataka kuharibu mitambo au nini kinachopangwa.
 
Kwa rais asiye DHAIFU hili lisingekuwa tatizo ila kwa rais ambaye mara zote anazidiwa maarifa na kuogopeshwa na watu aliowateua hili ni tatizo kubwa.

Mbona ana kashfa nyingi sana zikiwamo za kuleta sukari nchini na kuficha maghala ya jeshi Lugalo, Makaa ya mawe Kiwira pia huyu ni mhusika na sasa TANESCO.

Huyu bwana ana siri za wizi wanaofanya viongozi na ndio maana ana kiburi sana na inatakiwa watu amkini ndani ya bunge wasikubali Liwalo na Liwe ila Muhongo na Maswi wapewe support ili nchi isiingie gizani huku hawa watuhumiwa wakinyimwa kabisa meno.
 
Tatizo la kuendelea kutumia wastaafu wa jeshi kusimamia majukumu ya mashirika ndiyo hii.Matokeo yake nchi itajikuta inaingia vitani kimchezo sasa hii statement ya kudai siku tano zijazo nchi iingie gizani kwa lipi???? ajaribu aone kama hajanyolewa kavu kavu.Tutaanza na kujua kama ni raia kweli, wakongo watarudi kwao na malawi.thubuuuuuuuuutu muone!!!!!!!!
 
Suluhisho siyo kuvunja bodi wala kutoa Mhando wala Ngeleja, suluhisho la nchi hii ni kuuondoa utawala wote uliopo kwa vitendo nikiwa na maana KUWAUWA WOTE na kuweka Uongozi mpya ndani ya Chama Kipya
 
...Nasi wananchi tusingoje kufanyiwa! Tuamue pia kama Wananchi tunawezakuwafanya nini Maadui hawa wa Maendeleo. Kwa tusiazishe Tahrir Yetu pale Viwanja vya Mnazi M1 ama majumbani kwao?? Kwa nini tunakubali kupelekeshwa na watu wawili watatu tu??????
 
Tahrir yanini wakati mafisadi wote wanajulikana wanakoishi, si tuko nao mitaani. Umeme/sabotage yoyote ikifanyika na kuwa confirmed kuwa ni sabotage tunagawana nao huo usumbufu, wao na familia zao.. taratibu wataelewa somo.... hakuna haja ya tahrir wala nini...
 
Sasa hivi wenyeviti wameagizwa kukutana kujadili uwezekano wa kuvunja Kamati zote za wenye tuhuma za rushwa juu ya sakata la Tanesco. Aidha ni kweli kuwa kuna taarifa kuwa Mafisadi kwa kushirikiana na Gen. Mboma na Mhando wanataka kwa hali yoyote ndani ya siku tano nchi iwe gizani.

Wahusika wengine katika njama hizi ni Mh. Mkono, Ole Sendeka na Zitto Kabwe. Vyombo vya usalama sasa inabidi viingilie kati maana hatujui kama wanataka kuharibu mitambo au nini kinachopangwa.
Where is Mr. Presdent?
 
Hii ni hatari, kuna watu wanadhani hii nchi iko mikononi mwao wanaweza kufanya kila wakitakacho muda wowote.
Siku litakapolipuka, sijui itakuwaje.
Namsubiri mhandisi Nsiande ajazilizie nyama katika habari hii, najua atakuwa na mengi mazito ya kupasha juu ya hili sakata.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom