harakat
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 2,887
- 1,350
Matatizo mengi ya hii Nchi yanaanzia kwenye kitovu cha ubadhilifu Wa fedha za Taifa hili isivyo halali kupitia shirika la umma TANESCO iwe kwamba kashfa hizo zinadhibitika au la lakini hapo kuna shida Kubwa inayohitaji watu wapya na kwenye weledi Wa kizalendo .
Bila hatua hizo kuchukuliwa watakwamisha ndoto tu za kuielekea Nchi ya viwanda . Wala sio tu kukwamisha mpango huo Bali ndoto tu.
Ikumbukwe kwamba ili kuwa na Nchi ya viwanda lazima tuwe na nishati ya Umeme ya kuaminika "a reliable electronicity sources" sasa kama tunategemea hawa watu kuwa center bolt ya maendeleo ya viwanda ya Nchi hii.
Hapa namkubali kumpongeza Mh.Magufuli na Mh. Waziri Mhongo kuna njia wanaiona kama hii taarifa hapa chini ni kweli.
"Safisha safisha bado inaendelea katika serikali hii, ambapo leo wakurugenzi wote TANESCO wamesimamishwa kazi ili kuondoa uozo uliokuwepo ndani ya shirika hilo.
Muhongo Dr. Tito Mwinuka
Wakuu huku TANESCO hali si shwari mpaka sasa Wakurugenzi wetu watatu wameshushwa vyeo na kuhamishiwa katika chuo cha TANESCO (TSS).
Declan Mhaiki aliyekuwa Deputy Managing Director - Transmission.
Sophia Mgonja aliyekuwa Deputy Managing Director - Distribution.
Mr Kachwamba aliyekuwa Deputy Managing Director - Generation.
Aidha Watson Mwakyusa, Mkurugenzi wa Idara ya Rasilimali Watu yeye ameamua kuachia ngazi"