Mboga unayoweza kula na chakula chochote

Mboga unayoweza kula na chakula chochote

Nyama siyo mboga, ni miii
Spinachi, sukuma wiki, mchicha, kabechi vyote ni vijitebo. Huku neno mboga kiswahiliswahili likiwakilisha viambata unavyo weza tumia wakati wa kusonsomola ugali au wali. Kwa mfano nyama, mchicha green beans n.k vyote vikiitwa MBOGA. sasa neno MBOGA kwa kizungu ndo lipoje
 
mboga za majani(mchicha, figili, mnafu n.k)

nataka kujua mboga zisizo za majani ndo zinaitwaje? NENO MBOGA
 
mboga za majani(mchicha, figili, mnafu n.k)

nataka kujua mboga zisizo za majani ndo zinaitwaje? NENO MBOGA
Kibongo bongo ni mtihani kupata tafsiri sahihi ila kwa walami kila kitu kipo wazi vegetables,meat,pork mpaka ma sii fudi
 
Kibongo bongo ni mtihani kupata tafsiri sahihi ila kwa walami kila kitu kipo wazi vegetables,meat,pork mpaka ma sii fudi
Uko sawa. Kwa wenzetu hawana neno MBOGA kama neno moja linalowakilisha chainizi, nyama, sukumawiki n.k. angalia roboti lilivyo jibu hapa

Screenshot_20250511-110028.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom