Boston, Marekani
MBIO ZA MARATHON BOSTON 2023 - APRIL 17, 2023
GABRIEL GEAY AMALIZA MBIO ZA BOSTON MARATHON 2023 NCHINI MAREKANI NA KUSHIKA NAFASI YA PILI , KONGOLE KWA GABRIEL GEAY !
Evans Chebet of Kenya wins back-to-back Boston Marathons, this time in 2 hours 5 minutes 54 seconds. Gabriel Geay of Tanzania is second 2 hours 6 minutes 4 seconds
Picha toka maktaba : Gabriel Geay wa Tanzania akimaliza mbio za mita 10,000 tarehe 24 June 2018
Gabriel Geay mwanariadha toka Tanzania mwenye muda mzuri duniani katika mbio ndefu za marathon aliourekodi wa 2:03:00 (2022 Valencia) anatoa upinzani mkali kwa anayeshikilia rekodi ya dunia Eliud Kipchoge, Evans Chebet wote wakimbiaji mahiri tajwa wa kutoka Kenya na Herpasa Negasa wa Ethiopia katika mbio za jumatatu tarehe 17 April 2023 mjini Boston Marekani.
Mara ya mwisho mbio hizi maarufu za Boston ambapo pia mwenye rekodi ya dunia alishiriki inaonesha kuwa ilikuwa miaka 65 iliyopita yaani mwaka 1954 hivyo mbio za marathon za Boston 2023 zinaangaziwa na manguli wa mbio za marathon kwa ukaribu wa kipekee.
Gabriel Gerald Geay (Alizaliwa Septemba 10,1996) akiibeba bendera ya taifa lake la Tanzania huku akiangaliwa na mamilioni ya wapenzi wa mbio za marathon Live kupitia televisheni duniani kote . Gabriel Gerald Geay ameanzia mbali kabla ya kuingia mbio za masafa marefu kabisa.
Geay ameshindana kwenye viwango vya juu kwenye umbali wa mita 5000 pia kupitia nusu marathoni. Geay alishinda mbio maarufu za barabarani ikiwemo ya Peachtree Road race ya mwaka 2016 na Bolder Boulder mita 10,000 ya mwaka 2017 . Mpaka Julai 2022, Geay alikuwa amepata kiasi cha zaidi ya dola za kimarekani 100,000 kama hela za ushindi.
Notable international entrants
Eliud Kipchoge na Boston Marathon 17 April 2023
Source : Boston Marathon Registration | Boston Athletic Association

Name | Country | Personal best | Comment |
Eliud Kipchoge | Kenya | 2:01:09 (2022 Berlin) | Marathon GOAT coming off WR in Berlin |
Evans Chebet | Kenya | 2:03:00 (2020 Valencia) | Won Boston & NYC last year |
Gabriel Geay | Tanzania | 2:03:00 (2022 Valencia) | Coming off pb in Valencia; T-8 all-time |
Herpasa Negasa | Ethiopia | 2:03:40 (2019 Dubai) | 2nd 2022 Seoul (2:04:49), DNF Chicago in 2022 |
Benson Kipruto | Kenya | 2:04:24 (2022 Chicago) | 2021 Boston |