Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,440
- 38,437
toka zakojfkxxfjfhcc kskskslsxk n kwejjxg jsnfdbxnnx
toka zakojfkxxfjfhcc kskskslsxk n kwejjxg jsnfdbxnnx
Mkulungwa[emoji3][emoji3][emoji3][/QUOTE]Pamoja na kuwafundisha hayo yote umesahau kuwaambia kuwa wapige na kelele!! Somo lako anza upya maana na sisi tunaenda na mapanga sikuhizi maana tushajua mkono tupu haulambwi!.. mbele ya panga atapangika na kubakika tu[emoji12]
Njoo na mwili wako nikuonyeshe alipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mdudu ndio nini? [emoji3][emoji3]
😂😂😂Wanawake wa Jf tuna nini?? Mimi mwanaume mmoja hawezi kunibaka asililani. Yaani sijalewa, na yeye yuko peke yake hana silaha yoyote....haiwezi kutokea
Mkuu unatuchukulia poa dada dada zako?Ukimpiga mtu kwanza na wewe viungo vyako viwe vimekaza (vimekomaa) mbali na hilo patupu! Labda awahi kupiga serikali kuu! Ila kuna wengine wamekomaa ukipiga wanaguna tu, mmhh!
Nikiangalia hawa dada zetu nabaki hahaha!
😂😂😂😂Mkuu unatuchukulia poa dada dada zako?
Kwamba tutashindwa Hadi kutandika ngumi kwenye mdudu!?
Unadhani utakuwa unanikaba nakutazama tu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpaka unipige nikuangalie tu?
Sidhani kama nimekuelewa😂😂😂
Unapigwa kote nuki....ndani ya sekunde 5 tu chali waliyodhamiria wanafanya yao.
Usiombe ukutane na aliyedhmiria.